Berbadetha
Member
- Dec 9, 2016
- 20
- 8
Nina wasiwasi na elimu yako.Pia kama hujui kitu bora upite mbona sio lazima kuchangia kila uzi.Acha uongo serikali gani hiyo unayozungumza wewe,kwani hii nchi kuna vita? hakuna askali anaefanya kazi masaa mengi bila kulipwa huo ni uongo mkubwa,pili hawa askali wanashifti haya masaa wanayofanya mengi wanafanyia wapi? muda mwingi wako bar wanalewa tu jifunze kudanganya sio kwa hili utaumbuka.
Pathetic, nani ana mnyonya nani? i dont get this, its serious misconception, you cant make a prosperous country by invoking austerity measures aimed at reducing salaries and fringe benefits of workers. Employment is simply selling your labour to an employer so its a willing buyer and seller. Huwezi kuingilia terms and conditions za watu wengine eti wawe sawa na wewe au wafanane. So sad i cannot imagine tuna watu kwenye nchi yetu wanafikiria mambo kijinga namna hii. KAMWE HATUWEZI KUENDELEA TUKIWA NA MENTALITY KAMA HIZI.
Hapo zamani nchi yetu ilikwisha taifisha mali za watu wengine kwa kusema ni wanyonyaji ili hali watu wale walitafuta mali kwa jasho lao. Leo tunakuja na mambo kama haya, tukimaliza wafanyakazi wa serikali tutaenda kwa wafanyabiashara na kuwataka wawe masikini kama watu wengine. Nakuambia haya mambo ni ya ajabu kabisa na yataturudisha nyuma kweli kweli.