Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Habari wataalamu mbalimbali wa vyombo vya moto.
Gari yangu spacio old model nikifikisha speed kuanzia 120km/h inaanza kutetemeka hasa katika usukani....hali hii inakuwa inanipa wasiwas wa kuongeza speed zaidi ya hapo...na hata hivyo...nikijaribu kukaza moyo na kuongeza mafuta zaidi speed haipandi kwa haraka kama inavyopanda kutoka 0 kwenda 100km/h yaani inakuwa nzito kuelekea 130km/h na mtetemeko unazidi.
Hii inasababishwa na nini....naomba ushauri wa kitaalamu.
Asante.