Wanajanvi kwa yeyote anayehitaji kuunganishwa na huduma ya kuuza vifurushi na muda WA maongezi WA TIGO. Vifurushi + Salio, unaweza kunicheki kupitia hapa 0674565640, 0758125896. Huduma ni bure, na kwa wale wanaohitaji access ya kusajili line za TIGO.
sitapenda kuandika mengi hila fuatilien polisi wa tz na nchi nyingine utana tofauti. Uganda au Kenya ukileta jeuri inakula kwako, sisi hapa 2naishi nao vzuri ukilinganisha ni nchi nyingne.
Mie huwa naskia eti demu yeyote kamu mliwahi kusex alafu mkaachana, hila ikatokea mkakutana ukimuhitaji inakuwa simple kumpata kuliko ulipokutana nae kwa mara ya kwanza.
Unajua hapa kuna watu wanatakiwa wawajibike kwa kitendo hiki,mfano kama daktari na manesi wote waliokuwa zamu ili uzembe huu ucjirudie na jambo hili lilitakiwa kufanyka hadharan na kuutangazia umma kuhusu hatua zilizochukuliwa bila kujadiliana au kuunda tume ya uchunguzi ili iwe fundisho kwa...
Haa haaaaa! Yanga wanapenda wazungu mi namkumbka kipa wao mzungu, chezea yanga na wazungu, Kwa kawaida Maxcmo atajenga timu icheze vzuri hila tatizo nahisi itakuwa ni umaliziaji kama kipindi yupo starz, timu inacheza vizuri lakn haifungi, ninachohisi ni kuwa atafanywa kama Moyes, ndo maana...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.