Habari za wakati huu wana-JamiiForums,
Je, unaishi au unajenga maeneo ya Goba na unahitaji maji safi na salama kwa haraka? Tunatoa huduma maalum ya kusambaza maji kwa malori kuanzia lita 3,000 na kuendelea kwa wakazi wote wa Goba.
Kazi yako ya ujenzi isisimame na maisha ya nyumbani yasikwame...
Niaje wakuu?
Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni.
Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa...
Huyu yawezekana akawa ni mhanga wa hii mambo, kwakua limemfika kaona hata lisimwache kinyonge ngoja nae apate kipozeo
"Ma “onyo” yamekuwa mengi sana siku hizi. Mtu akiamka akashiba zake kiporo ule muda wa kusinzia anautumia kutunga “onyo” lake…."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.