Recent content by mugo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: CHADEMA M4C Mtwara

    makamanda nawatakieni mapambano mema, millya wafungue watanzania hasa kusini kutoka gizani ili wavue magamba na wavae gwanda M4C slogan ni noma sana ikulu hiyooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katu sitounga mkono CHADEMA

    Mfa maji haachi kutapatapa ccm kwa sasa kwisha habari yake mtabakia kuwa wapinzani 2015 ikulu inachuliwa na chadema, labda kama ni ya ccm na si ya watanzania revolution= zambia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je Mrithi wa Regia ilikuwa lazima atoke kasikazini??

    kwa hiyo ccm ni chama cha waislam na ndio maana wameungana na cuf mkitaka tuseme kuhusu matabaka ya vyama
  4. M

    JamiiForums Tanzania Penda msipende CHADEMA lazima ichukue nchi 2015

    mwisho wa gamba kutawala now waache cdm wawaaonyesha jinsi ya kuleta maendeleo na kutumia vizuri raslimali za nchi
  5. M

    JamiiForums Tanzania RC Arusha ampongeza jaji aliemvua ubunge Godbless Lema...

    Hana jipya huyu mzee kama amebanwa aende nyumba kubwa akamalize haja zake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtera washtukia matusi ya mbunge wao

    ndio muelewe kwamba mlimchagua popompo kabisa fanyeni mabadiliko CDM ipo kwa ajili yenu walalahoi acheni kufurahia kofia,tisheti,na kanga amkeni wenzenu huku Iringa ni maendeleo kwenda mbele na mbunge wetu anafanya mikutano kila kata kujua kero za watu na huyo ni jembe PETER MSIGWA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hujuma za star tv!!

    anaongea nini ngeleja upompopo tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha za Leo Mkutano wa CDM Tengeru Arusha

    nguvu ya Mungu haiwezi kupingwa na shetani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari apitishwa kura za maoni ya mkutano mkuu wa CHADEMA - Arumeru

    kamanda nakujua sana katika harakati za kupigana na mafisadi hawa wewe ni jembe la taifa la kutegemewa. wameru mpeni kura zenu aongeze nguvu za vijana wapiganaji kama tulivyofanya hapa iringa mjini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Mungu tenda muujiza Dr mwakyembe na Prof mwandosya wapone katika Jina la Yesu jina lenye uponyaji na nguvu za giza zikashindwe kabisa
Back
Top Bottom