EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
mbona wenzenu wapo madarakani lakini nyie bado mpo !2015 ndo utajua ni nchi ipi CHADEMA wameichukua. lazima mhame nchi yetu nyie gamba!

Mungu yupo pamoja nasi daima.
Sema ' YESU yupo pamoja nasi'Mungu yupo pamoja nasi daima.
Ni kweli, ni lazima ichukue nchi, Nchi ya Arusha!
Asiyeamini hilo ni mchawi.
Convince me that CDM has different things to bring to our development which CCM failed
kama ni tupende tusipende; basi kuna haja gani ya kuwepo uchaguzi? Si hizo fedha za uchaguzi zingetumika kutoa huduma kwa jamii maana matokeo tayari tunayo?
It doesnt matter whether will make a difference or not,what matters to me is a change....
Kawaida ya mashabiki wa CM wasio na akili za kuwatosha kuweka any positive contribution kwenye mijadala.2015 ndo utajua ni nchi ipi CHADEMA wameichukua. lazima mhame nchi yetu nyie gamba!
Hatimaye uhuru wa Tanzania utapatikana rasmi mwaka 2015, uhuru kutoka utawala wa CCM uliochoka na kushindwa kuleta matumaini kwa Watanzania, hii ni lazima, ishara zote zimeshatimia (Imethibitika kisayansi ya siasa CCM haikarabatiki tena).
Haitakuwa rahisi sana, kutakuwa na pingamizi mahakamani la kesi itakayopelekwa na CCM kupinga ushindi wa CHADEMA, lakini itashindwa maana system yote itakuwa ni ya chadema.
Penda msipende, mtake msitake, muamini msiamini CHADEMA itachukua nchi mwaka 2015, hii nasema kwa nguvu yote. Watanzania wengi watu wa Mungu wameamua hivyo, na wale wenye kuamua wameshaamua hivyo. Tusukume siku tu.