Recent content by Mugo wa kibilo

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

    Hakika umenena ndugu!! hakuna mbadala wa mama.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

    mama ni mama tu hakuna namna vumilia tu na fanya majukumu yako kwake,,akikutoka utayakumbuka hata unayolalamika sasa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

    Hawa baadhi ya Wakuu wa mikoa wa kwanza baada ya Uhuru Luangisa,John Mwakangale,Joseph Nyerere, moses Walwa, Mwakangata,Chamshama, Kapilima na Humbi Ziota.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Mchele wa miezi sita nilioulima mkoani Morogoro

    Hebu ni PM namba zako tuongee.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Akatele Isukulu Songea Boys 1993-1996
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kuona hizi muvi basi zitafute

    Deadly pley mpaka sasa naiangalia nzuri sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

    Tatizo tunahangaika sana na overt tunasahau kabisa covert!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya tatizo la kupasuka pasuka midomo

    Yes nilikuwa na tatizo hili niliambiwa kula sana machungwa sasa niko vizuri sijapata tena hiyo shida.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nilichoambiwa na mke wangu; Nimechanganyikiwa naomba ushauri

    Daaaa weee noma huu ndio ushauri bora kabisa kwake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msiba wa King Majuto: Aibu yako Kikwete, aibu yetu Watanzania...

    Tena aombe msamaha mtoa uzi huu, mzee wa watu kafanya mengi sana kwa huyu mzee Majuto. Acha pia Mzee wetu King apumzike kwa aman.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu imeibiwa nimechanganyikiwa kabisa

    Ahsante sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu imeibiwa nimechanganyikiwa kabisa

    Nishauri please
  13. M

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu imeibiwa nimechanganyikiwa kabisa

    Laptop yangu min imeibwa.nimechanganyikiwa kabisa kupoteza kumbukumbu zangu nyingi sana. Msaada kwa wataalam plz.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza wiki mpya fuata mpangilio huu ili kupanga wiki yako

    Umekaa vizuri sana hii..ngoja niitanyie kazi.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia to ship Kenya’s maize by rail

    From dar port they will them to mombasa port
Back
Top Bottom