Recent content by mugishajuma135

  1. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jarro daah
  2. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Wajuzi kwenye biashara ya mazao

    Mkuu karagwe Maharage ni shngp kwa kilo (Maharage ya njano)
  4. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukraine Premier League Mechi za Leo jioni saa 1 usiku (Tupe utabiri)
  5. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi niliwahi kula maximum Tshs 52,000/= ila natafuta group la WhatsApp la betting nijiunge
  6. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Hodi JF

    Shukrani sana
  7. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu kwa waliopo mwanza Bei ya gunia la mahindi ni Tshs ngapi?

    Yeye yupo Nyakahura, maeneo ya Biharamulo
  8. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

    Hii kitu iko POA .. mfano kwa vijana hao 50 ,ukipiga hesabu Kama ya polepole kwa miezi 6 mtakuwa na Tshs 45,000,000/= MFANO Mkanunua bodaboda 20, halafu Kila siku hizo bodaboda kwa Kila moja inaleta tehs 15000/=, kwa mwezi tu zitakuwa zimeingiza Tshs 9,000,000/= NB Japo Kuna gharama...
  9. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu kwa waliopo mwanza Bei ya gunia la mahindi ni Tshs ngapi?

    Salaam wadau Ningependa kufahamu kwa waliopo mwanza Bei ya gunia la mahindi ni Tshs ngapi? Kuna ndugu yangu ana tani kadhaa anataka kuleta sokoni
  10. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu na kumteua Anamringi Macha

    Namaanisha huo msambwanda unakunywa vinywaji vzr mno
  11. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Kero kubwa ni barabara zinazoonganisha mkoa wa katavi, Tabora na Kigoma.. Pia kero nyinginezo Mhe Rais aje Katavi Kwan tangu alivyofanya kampeni ya uchaguzi 2015 kwa kuzindulia kampeni zake huku HAJARUDI MPAKA LEO, ila CHATO NA KANDA YA ZIWA anakwenda thaana
  12. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu na kumteua Anamringi Macha

    Ni haki watu wapigane vikumbo.. Sio kwa msambwanda huoo khaaaaaa
  13. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    OK shukrani ndugu
  14. mugishajuma135

    JamiiForums Tanzania Bei za Green na pink Tourmaline

    Okay
Back
Top Bottom