Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu na kumteua Anamringi Macha

Tunaomba picha ya huyo demu kabla hatujafika mbali
Huyu
makalio10.jpg
 
Kuteua na kutengua kila kukicha ni sera inayoonekana ku-prove failure mpaka sasa na aliefeli zaidi hapa ni muasisi wa sera/mbinu husika.

Kama utaratibu huu ungekuwa unaleta tija inayokusudiwa,basi taarifa hizi za watu kuteuliwa na kutenguliwa kila kukicha zingekuwa zinapungua siku hadi siku lakini badala yake ndio kwanza zinaonekana kuongezeka na kwa tafsiri rahisi ni kuwa utaratibu huu haueleti tija iliyokusidiwa(mbinu imefeli).
Anachokifaya Mhe. Rais, ninakipenda mno, wanapoteuliwa wanatutesa sana wapinzani hata bila sababu kwa lengo la kumfurahisha Mhe. Rais, sasa ngoja yawakute. Wajue sio jambo zuri kumuonea mtu kwa sababu ya kumfurahisha Rais. Hafurahishiki huyu.
 
TATIZO SIO NGOME, SHIDA NI PALE WANAPOSHAMBULIWA WATU WA ENEO MOJA KILA LAWAMA UTUMBUAJI UNAWAHUSU.
KWA MFANO KAHAMA PM ANASEMA KUNA MGOGORO WA DED NA DC, LAKINI DC ANAONEKANA NDIO TATIZO NA SIO DED U MWINGINE YEYOTE.
NIMEGUNDUA TUNASHAMBULIWA!
kazi kwelikweli
 
Mkuu Nichumu Nibebike, ni kweli, nimesubiri sana, na nitaendelea kusubiri sana!, hivyo inaibidi sasa niongeze bidii, niongeze mapambio, sifia, tukuza na kujipendekeza kwa nguvu sana hadi anione!.

Hapa inahitajika bidii!, ila hata kama ningekuwa mimi, huyu Fadhili ningemtumbua tuu, kwanza ni bonge la HB, pili ni mtu wa pamba kali, unapiga suti kali, designers collection all the time na kutokelezea kuliko bosi wako?!, aende tuu!.

Kwa personal ratting yangu, huyu Jamaa ndio the best dressed DC!, anavishwa na Sheria Ngowi!, hivyo mimi katika Kipindi hiki cha kusubiria, suti zangu nitajishoneshea pale Mwenge, na kutokelezea kama Kangi Lugora!.

P.
Wacha ni cheke... Umejibu vizuri sana... umejibu kiutu uzima....
 
Kuteua na kutengua kila kukicha ni sera inayoonekana ku-prove failure mpaka sasa na aliefeli zaidi hapa ni muasisi wa sera/mbinu husika.

Kama utaratibu huu ungekuwa unaleta tija inayokusudiwa,basi taarifa hizi za watu kuteuliwa na kutenguliwa kila kukicha zingekuwa zinapungua siku hadi siku lakini badala yake ndio kwanza zinaonekana kuongezeka na kwa tafsiri rahisi ni kuwa utaratibu huu haueleti tija iliyokusidiwa(mbinu imefeli).
Hi pia kilichoprove failure ni vigezo anavyotumia mteuaji na mtumbuaji
 
UKIANGALIA TAARIFA ZINAONYESHA PM AKISEMA KUNA UHUSIANO MBAYA KATI YA DED NA DC NA WAKUU WA VITENGO, AJABU ANAONDOLEWA DC HAO WENGINE WAANCHWA.
Kati ya uliowasema, ni DC to ndiye mteule wa Rais, wengine ni waajiriwa wa serikali walioko chini ya tume ya utumishi. Pili tambua pia kuwa kukiwa na mgogoro baina ya kiongozi na mfuasi, ni kiongozi ndiye anayetakiwa kuwa na busara zaidi kuutatua mgogor huo, siyo mfuasi.
 
MY FRIEND HAO WOTE WANATEULIWA NA RAIS!!
NA HAPA NDIPO NINAPOONA UBAYA WA KATIBA YETU!
 
Huyu jamaa Fadhili ameingia kwenye Ugomvi mzito na Mkurugenzi wa Kahama Mji kisa wanagombania mwanamke mmoja Mtendaji Kata.

Ujio wa Magufuli mwezi wa 3 hapa Kahama aliwaambia wakae wamalize tofauti zao.. Lakini bado.

Hata hivyo huyu mkuu wa Wilaya ni mtu wa Starehe sana..... Gari la mkuu wa Wilaya linazurura hadi usiku wa manane.

Mkuu wa Wilaya yupo Mjini tu... Haendi Ushetu wala Msalala
hata wazir mkuu, ziara yake siku moja wilaya ya kahama, kabla ya DC huyo kuondolewa kwenye nafasi yake, PM aliongelea sana viongoz wa serikali kulala bar, kufanya starehe na kulala kwenye madisco pia na kutoshirikiana vema kwenye idara zao..

na akazungumza kabisa wapo ambao wakuu wa wilaya hawawhirikiani na mkurugenz na baadhi ya iongoz wa idara...

nadhan hyo ili walenga moja kwa moja viongoz wa kahama

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom