from congo duhh biashara imekufajeHizo ni za wapi Congo au?
Green tormaline naona sokoni zimeshuka bei...danadana size kuanzia gem 5 kwenda juu.
Pink tormaline kidogo sokoni zina move...grm anzia 200,000/ pink....green anzia 70000/
Supply ilikuwa kubwa SANA.....Ila sahv inarudi kimtindo...pink sokoni inatembea,wee tormaline Zako ni za wapi?from congo duhh biashara imekufaje
Umetapeliwa nini?!! Biashara kama hauijuwi au haikuhusu si unapita kimyakimya?!!Utapeli live live
NI pm namba yako Kuna mnunuzi arusha Yukoasee mi nimesema ninataka kukuuzia wewe kaoge ,au nauliza wajuzi nijue bei haya ndo madhara ya kutochapa watoto utotoni.
Habari! Hii biashara BADO unaifanya ndugu?Naombeni ushauri juu ya huu mzigo una gram 100 ,zote zinazidi gram 3 na kubwa ina gram 22,Naingia sokoni mnanishauri niombe bei gani kwa gram inayoendana na soko halisi.kwa pink na green .
View attachment 416051 View attachment 416052 View attachment 416053
Unauzaje kwa gram?yap ndo ajira yangu
OkayIzi zishatoka naja inbox
tuwasiliane mkuuIzi zishatoka naja inbox