Hii course kwa Kuajiriwa serikalini mshahara mi mdogo sana. Scale utalipwa kama Clinical Officer. Japokuwa watakutumia to the maximum kuona wagonjwa wa ngozi..ukibahatika kupata mradi magomjwa yq ngozi sehemu ya kazi pengine utanufaika zaidi.
Kwa ufupi pale KCMC COURSE ZA RDTC NA ORTHOTICS...
Tatizo TFF wenyewe hawajaweka wazi Sababu ni zipi za kuhairisha game. Maana watu makini tunaweza kuona umuhimu wa sababu. Ila kutokusema hizo sababu ndio shida
Medical Officer anaOperate kwa level
Ukiwa Hospital Utaanza kuwa MO medical officer na kadiri unavyokaa kazini na kuwa na experience unapanda unakuwa Senior Medical Officer na Hatimae Principal Medical Officer.
Daktar anaweza kuspecialize hivyo atakuwa Medical Specialist.. hivyo hivyo atapanda...
Liverpool unaniangusha kwenye kuelewa.. Kwenye hospital hakuna leading wala treating post. kuna job tasks,
Uongozi wa hospital unaendeashwa kwa Guidelines, Health management ambazo unakanidhiwa na wizara. you operate within the protocols. uwe na kipaji au usiwe,
leading imekaa kisiasa zaidi...
Anakuwa kiongozi kwenye Taaluma yake tu.
na kwenye afya Daktar hafanyi kazi pekee yake, lazima awepo nurse, awepo, lab personel, awepo radiographer, na allied health kama physio., cleaner, attendants na wengine..
However, Daktar katika kusoma. anasoma kazi za kada zote kuanzia nursing, lab...
Kuna RHMT Regional Health Management Team. Inaundwa na core team ya watu 7, RMO, RNO, RPO, RSHO, RDO, na wengine so Nurse anakuwa Reginal Nurse Officer, Pharmacist anakuwa Regional Pharmacist Officer na kadhalika...
Muhuri upo Kisheria ila kwa mazoea Umekuwa ukitumika wa Hospitali, Kama kuna legal impact ya Taarifa zilizojazwa, Daktar atawajibika hata kama amahama hospital husika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.