Recent content by Mugango1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chit-Chat English Language Debate, Lara1 vs Heaven On Earth.

    Naisubiri debate kwa hamu kubwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Siku zote viongozi uchwara hukimbia maswali yanayowa-challenge. Ona sasa huyu pimbi anayejiita rais kakimbia. Umesema kweli mkuu, hawezi kurudi hapa labda asaidiwe na wafuasi wake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    Hepi bathdei tu yu Aliens. Uwe na maisha marefu zaidi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hodi wenyeji

    Naona amenikaribisha hapo juu, pia nimemshukuru.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hodi wenyeji

    Nishakaribia mkuu, shukrani sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hodi wenyeji

    Mimi me.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hodi wenyeji

    Hapana, huko sijawahi hata kufika, sana sana nilipita makole nikakaa kwa wiki 3 tu na sijawahi kukaa hapo tena.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dr. Ndodi

    Kuna kajamaa kengine kanaitwa Dr mukwete ayyayayaaa kana balaa nchi nzima tehehehee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna picha yoyote inayomuonyesha N.Meena akiwa USA

    Meena ni mwandishi kanjanja, bora angebadili fani awe hata fundi umeme kuliko kucheza na chombo kinachoweza kuleta mauaji ya halaiki kama ile media ya Rwanda 1994.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ulipokuwa Chuo ulifanyaje wakati kama huu au wanishaurije?

    Anza kuuza vocha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba simu namba ya Shule ya Precious Blood Arusha

    Yakoje hayo masharti?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi kama Meena unamuweka kundi gani?

    Hivi walilipa na cheo kwenye jukwaa la wahariri? Ndo maana tasnia ya habari inazidi kudharaulika.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi kama Meena unamuweka kundi gani?

    Hilo kanjanja lililokubuhu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Trafiki wa kike atekwa akiwa barabarani

    Huyo trafic si mwungwana hata kidogo, ndiyo maana mimi mapolisi wote nawadharau hata kufa wafe tu kama wale walovamiwa kituoni wakacharangwa mapanga.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta naye atua Bukoba leo kusaka kura za Urais

    Na pia alivyoshirikiana na waziri wa sanaa na michezo na utamaduni kuharibu mjadala wa katiba.
Back
Top Bottom