Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
nadhan atakuepo pale mwembechai magomeni! ulizia itumbi hotel
Itumbi alishahama muda tu.
nadhan atakuepo pale mwembechai magomeni! ulizia itumbi hotel
Huyu bwana alikuwa anapinga kunenepa na kuota vitambi, baada ya kupiga hela yeye naye kitambi kikaanza kutoka loh!! Mtanzania zaidi ya umjuavyo
bora mchawi kuliko mnafiki ilikuwa kumwona tu 15000 je dawa wewe alikupa bure
acha matusi we mtoto pengine mi ndo babaako!
kwani ametumia lugha gani mkuu? Sio kiswahili icho? Labda ungesema kakosea harufi. Ha ha ha ha uchokozi huu mweeh!!
kumuita huyu jamaa "Dr." ni sawa na kumuita mgambo "Inspector"
..only in tz kwakweli
WanaJf naomba kujua alipo huyu jamaa mtanzania mwenzetu, dr Ndodi, mtaalamu wa dawa za asili maana alifanya sana kazi ya kusaidia baadhi ya watanzania.
kumuita huyu jamaa "Dr." ni sawa na kumuita mgambo "Inspector"
..only in tz kwakweli
Kwani kafanya nini xaxa? (kuna wengine sasa anaandika xaxa hapo ndio nachoka kabisaMkuu huu uandishi wako sio mzuri kwa matumizi ya mtandaoni, kumbuka kila unachoandika unaandika kwa ajili ya wengine, ukitegemea kusomwa, sasa unapoandika bila kufuata taratibu za lugha ya kiswahili na masharti ya jf unataka nani asome na kuheshimu ulichoandika? umetoa wazo zuri tatizo ni lugha uliyotumia.
Badilika kwa manufaa ya wengine.
Mkuu huu uandishi wako sio mzuri kwa matumizi ya mtandaoni, kumbuka kila unachoandika unaandika kwa ajili ya wengine, ukitegemea kusomwa, sasa unapoandika bila kufuata taratibu za lugha ya kiswahili na masharti ya jf unataka nani asome na kuheshimu ulichoandika? umetoa wazo zuri tatizo ni lugha uliyotumia.
Badilika kwa manufaa ya wengine.
Ungeuliza maana ya Dr ungefahamishwa tu, kuliko kuleta assumption zako zisizo na kichwa wala miguu.