Sijawahi kumkubali Wallace, haya mafanikio tunayoyaona kuanzia kwenye timu ya taifa mpaka vilabu ni matokeo ya muda tu kwani ilikua lazima tufike hapa.
Tukianza na vilabu, Wallace amekutana na wakati ambao wafadhili wa hivi vilabu wameamua kuweka hela kwenye football na kama unavyojua MPIRA...
Hivi mfano Congo ingekua ni nchi iliyojaa waislam ata 30% unafikiri vikundi kama M23 na vinginevyo visingeitwa vya kigaidi kweli?
Usiendeshwe na propaganda za kimagharibi kama hujawahi fika kwenye nchi husika.
Umemaliza kila kitu Chief, mashabiki wa simba wanatakiwa kukubali kua yanga kwa wakati huu ina quality players na sio kuamini yanga ina quality witches.
Tamaduni ilianza around 2012 huku muasisi akiwa na duke tachez, kufa kwake nadhani kulianza baada ya wasanii wake kumaliza contract na m-lab hivyo ikakosa muelekeo kuanzia apo.
kwa sasa imefunikwa na mwamvuli mwingine wa kikosi kazi ambao naona kabisa umekosa platform pamoja na kua una watu...
Mwandishi umetuvuruga sana, mimi nilijua unazungumzia udugu wa damu bn.
Anyway dizasta anafanya mziki ambao unastahili mashabiki wachache wenye uthubutu wa kufikiri. Hivyo ni rahisi sana kwa mtu anaependa rap za kawaida kusema disasta hana maajabu.
Ukiona fid na Prof jize wamenyoosha mikono...
Sawa timu imeuzwa! Lakini hiki hakikua kipindi sahihi cha kuanza kwa mjadala huo, bwana mudi alipaswa asubiri matokeo ya mechi yetu na Galaxy ndio alete hii hoja.
Technically kuna kitu hakijakaa sawa, Mo ajitokeze mbele za watu kuliweka hili jambo sawa tena ikiwezekana ndani ya masaa 12 yajayo.
Niliahidi mzigo utaisha, hivyo nikipata muda nitajitahidi kutupia vipande vingi zaidi.
Kwa wanaotaka kusoma chap na kumaliza nendeni Whatsapp 0623329512 kule mzigo umeisha.
TUNAENDELEA WAKUU.
Story na wale jamaa zilinifanya nizidi kuwa huru zaidi ya ilivyokua hapo kabla, na mpaka wakati huo nilijua kuwa Rehman ndio aliyeniwekea ile memo siku ile nikiwa msikitini.
Na wenyewe pia walikubali kuwa Tala ni fatemeh, na jina hilo alipewa wakati akiwa bado mdogo sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.