kule congo silaha kitu cha kawaida tu hadi watoto wadogo wanatumia silaha na mtaani silaha zipo holera na wanajeshi wa congo silaha zoa unamiliki mwenyewe unatembea nayo ovyo na ndomana mauaji hayaishi serikali imeshindwa kuzibt silaha na vikundi vya waasi vipo vingi sana wakati mwengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.