Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Inawezekana hata hujui ulichoandika.Tatizo ni mama mwenye miaka 41 kutoka na kijana wa miaka 29
Kumekuwa na tabia ya akina mama watu wazima kutoka kwenye ndoa zao, kitu ambacho kizadhalilisha hadhi ya wame zao.
Ha haa kama tunavyowavumilia nasie....Tuvumilieni ni nature yetu. Mwanaume mmoja anakinaisha tena uliyezeeka naye akifika middle age shughuli inamshinda so tunaenda kutafuta damu changa, maisha yenyewe mafupi haya.
mwambie nisimkuteKuna maza mmoja naona ananiletea kbs hapa mtaani.
Natamani angekuwa binti mdogo
[emoji15] [emoji15] [emoji15]mwambie nisimkute
Ndiyo maana mabinti wa sikuhizi wamekosa adabu kwa mama/aunty zao, unakuta binti na aunty wanagombania b/f, binti anamsonya aunty saloon.Tena wanavoshindana na Bint zao kutongoza Vijana acha tuwa gedede Tu no Way Hisia ni kitu kingine na wakubwa raha mana hamusumbuani
duuu hiyo kali dogo anasukuma gozi bila wasiwasi na bi mkubwa wa miaka 45 anampatia mzigo wote asante sanaIsingekuwa wanaume basi w'wke ni watu watulivu kulioko maelezo. Kosa ni ujifanye mjanja mjanja kwake, unaambiwa acha michepuko nje husikii. Hapo ndio utapoona m'mke miaka 45 kijana miaka 23
Kabisa Sky Elcat yani Havina AdabuNdiyo maana mabinti wa sikuhizi wamekosa adabu kwa mama/aunty zao, unakuta binti na aunty wanagombania b/f, binti anamsonya aunty saloon.
Thread kama hizi bila picha hainogi
AseeeTuvumilieni ni nature yetu. Mwanaume mmoja anakinaisha tena uliyezeeka naye akifika middle age shughuli inamshinda so tunaenda kutafuta damu changa, maisha yenyewe mafupi haya.