ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,321
- 50,541
Wakuu Nina maswali kuhusu nchi ya Congo Nataka nijue Hali halisi ya maisha ya kule.
Je ni kweli Kuna mlima uko bukivu uliojaa dhahabu na je eneo Hilo silaha zinaingiaje kiasi kwamba serikali imeshindwa kudhibiti. Na je serikali ya Congo haimiliki eneo ambalo ni sawa na ukubwa Gani tanzania?
Yaani waasi wanamiliki eneo sawa na nini Kwa hapa tanzania je ni Sawa na Kanda ya ziwa au ni sawa na mkoa WA mwanza tu? Na tena Nataka kujua kwanini serikali isiwashambulie waasi wote Kwa mara moja je waasi wana silaha nyingi nzito kiasi Congo YOTE kubwa vile ishindwe kuwashambulia waasi wote? Kwanini vita haiish je ni kweli Kuna mkono was mrwanda pale?
Naskia pia maisha ya Congo Watoto wadogo wanatembea na bunduki Nataka nijue Hali halisi ya kisiasa ukifananisha na ya hapa tanzania. Ni kweli vyama vya upinzani ndio vinamiliki waasi? Au wale waasi wanafaidika na nini ipi nguvu Yao? Congo ina rasilimali nying kwanini vita sehem moja kwanini wasitafute rasilimali nyingine ni linchi likubwa. Wanaojua Congo NIPENI story zake hasa za kimigogoro Yake ya kivita.
Compare na tanzania kule demokrasia ni kitu Gani. Mauaji je na Hali ya kiusalama.
Nataka niiujue Congo