Tuombe toba, ukame huu wa mvua si wa kawaida

TUNAKATA SANA MITI KILA SIKU MF.HUKU NJIA YA BAGAMOYO MAFUSO YANAPITA YAMEJAA MAGUNIA YA MKAA KILA SIKU,HII INA MAANISHA MISITU INATEKETEA NA KAMPENI ZA UPANDAJI MITI ZIMEKAA KISIASA SANA...NASHAURI RAIS MWENYEWE BWANA JPM KAMA ALIVYOFANYA SIKU ILE YA USAFI BASI...AAGIZE ITENGWE SIKU MOJA KILA MTANZANIA APANDE MITI MIWILI IWE NI LAZIMA NA AITUNZE,... TUNAKOENDA HAKI! HAKUTAKUWA NA MVUA KABISA KAMA SIO KUGEUKA JANGWA
○ MITO INAKAUKA KWA KASI
○ MISITU MINENE INAFYEKWA SANA DAILY
○ HAKUNA PROGRAMU SERIOUS YA UPANDAJI MITI ISIPOKUWA KULE KWENYE MISITU YA TAIFA.

NINI TUFANYE
○ MATUMIZI YA MKAA WA MITI YASIMAMISHWE
○ZITUNGWE SHERIA MAKINI KULINDA MISITU NA ZISIMAMIWE
○TULICHUKUE HILI SUALA KWA UZITO KAMA ILIVYO KWA RUSHWA
○BUNGE LIAMKE MBUNGE MMOJA APELEKE HOJA BINAFSI HALI NI MBAYA WANAOTEMBEA MIKOANI NAAMINI WANAJIONEA NCHI NI KAME HASA!
○HALMASHAURI ZIWEKEWE MALENGO YA UTUNZAJI MISITU

TULICHUKUE HILI SERIOUSLY

CC: IKULU JPM,SSH,MKM
WM _MAKAMBA
SPIKA
HALMASHAURI
climatology ya wapi hiyo,wadanganye wengineeee.elimu elimu elimu
 
Nawaonea Huruma MaRC na MaDC watakaosema kuwa kuna njaa!!! Uncle JJ Hataki kusikia hio habari, kwake habari kama hio ni sawa na MTU kushindwa kazi. Watatimuliwa wengi Aisee
 
mwaka huu ndo nilikuwa nmeamua kuwekeza ktk kilimo, hali ni tete sijui vijisent ntavirudishaje ingekuwa mbele serikal ingen subside
 
Back
Top Bottom