Recent content by Muendesha katapila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ujumbe muhimu kwa wale ambao mnaichukia Argentina na Mwamba Lionel GENTAMYCINE Messi

    Kama mtakatifu cristiano Ronaldo the real Goat umemuita pimbi,basi we ni kubwa jinga la mda wote la jamii forum elewa neno 'mda wote"
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naumwa sasa sababu ya mapenzi

    Ajahawi kunipa chochote mkuu,alinambia ni bikra mpaka ndoa mie nilimpenda sana mpaka nikakubakili yote mwisho akasepa akaniblock
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naumwa sasa sababu ya mapenzi

    Asubuhi kete Moja ya skanka ya Malawi nauziwa 5000 + pineapple express (bangi ilivundikiwa sumu ya panya.sk.dawa ya usingizi) inauzwa 5000.kwa hiyo kwa siku natumia mara tatu ambayo ni 30000/= anayeniletea anakula 20000/= kwa siku inakuwa 50000l= nahitaji msaada kwa yoyote aliyewahi kupitia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naumwa sasa sababu ya mapenzi

    Jumapili njema wakuu, nimeenda church Leo kidogo. Nimetoa sadaka ya laki sita baada ya kupiga diesel ⛽ za kutosha kwenye skavetaa yangu kwa ajili ya kufutiwa dhambi maana hali mbaya sana, baada ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija, nikafanya kila mbinu ya kumrudisha ila zote zimefelii...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje wakuu hali mbaya sana?

    Chakula hakili mkuu kabisa,mawazo makali sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje wakuu hali mbaya sana?

    Mama yake alinijibu niache kumsumbua kwenye simu atanishitaki anitambui
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje wakuu hali mbaya sana?

    Mambo magumu akinambia hana baba ameshafariki ana ishi na mama na dada yake
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje wakuu hali mbaya sana?

    Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na Khadija mwanamke ninayempenda sana. Sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo, nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na mtaalamu amekula zaidi ya ml 4 lakini kinachoniuma mpaka sasa inakaribia mwezi sioni majibu yeyote...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuishi bila yeye nimeshindwa

    Wakuu Bado naendelea na maombolezi ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija kimodoo, maymivu ni makali sana nayopitia kuhusu huyu mwanamke siamini ,mpaka saivi hata kazini Leo Mchina amenipa likizo siku mbili nipumzike, nimeshindwa kufanya kazi natetemeka,homa Kali sababu ya mapenzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma party 2; misheni ya kumrudisha Khadija wangu

    Wanazengo naombeni msaada, huyo kwenye picha ndo Khadija wangu nampendaaa sana, huyu Binti ndo kila kitu kwenye maisha yangu, Tangu ameniacha mara kadhaa nimejaribu kujfanya kila namna ili nimsahau nashindwa inauma sana,hapa TU sijaenda kazini na mchina anataka kunisimamisha kazi ,sababu ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pesa ni nzito kuliko upendo

    Usiwadanganye Mimi Khadija nilimpa kila million lakini kamfata muuza Mkaa wa huko mbokaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtu kipenyo, anaona ufahari kuua watu! Watanganyika wenzake

    Nipe picha yake mkuu,maana mwezi ujao ntakuwa hapo dom Kuna m,radi tunakuja kupiga,ili nimuee kisheria nimgonge na Gredaa live na watu wanaona,kisha ntapelekwa mahakamani baada ya hapo,Sheria itaamua kuwa mtu yeyote ni kosa kuwA karibu MITA mia na Gredaa ikipiga kazi kisha ntakuwa huru,
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamaniii

    ndiyo mkuu nakunywa visungura angalau nisahau
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamaniii

    Bora nife nikipigania mapenzi yangu😭😭😭 ntazikwa kwa heshima kuliko kuzikwa na skavetaa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamaniii

    Ndiyo mkuu ndo maana nilikuwa mvumilivu,mixer na kumhudumia kiujumla nilijitoa kwa huyu mwanamke
Back
Top Bottom