Mapenzi yanauma jamaniii

Mapenzi yanauma jamaniii

Petrol, petrol, petrol, nimeiita mara tatu...petroli ukiitumia vibaya ni mbaya kweli!
 
Kuna wakati moyo unamfanya mtu afanye maamuzi ya ajabu sana

Lakini cha kushukuru ni tuna-move on na maumivu huwa yanapungua

Sijawahi kuexperience block hata mara moja,nadhani ni maumivu ikitokea hivyo siku
Utaexperience vipi akati upo upande wawatia block,? wanaume hua hawablock ila nyie ndo top 😂
 
vyotee tu mkuu, lakin kuna namna kuchelewesha salary sio poa
Ucheleweshewe mshahara wakati kodi imeisha na mwenye nyumba amekuvumilia zaidi ya week mbili.
Nakumbuka nilliwahi kuishi sehemu, siku hiyo nipo na mrembo ndani, baba mwenye nyumba akaja kugonga anagaka kodi, bahat pesa nilikuwa nayo, ikabid nikaichukue nimlipe kicha niendelee na uchakataji.
 
Wazee inakuejee mabibi inakueje,

Mimi ni muendesha katapila aka Greda aka skaveta, nimekuja mnisaidie Mimi Kuna demu nikikutana naye Dar anaitwa Khadija aka kimodoo, ulikuwa mwaka juzi ametoka kumaliza form six, sasa nikatupia swaga mtoto akakubali sababu Mimi ni mnyamwezi

Penzi likanogaa, sasa kinachoniuma kumbe alikuwa na mchumba huko mkoani, kwao Igunga, alikuwa anasubiri amalize shule amuoe, kibaya zaidi Mimi nimewekeza kila kitu kwake hela nimempa za kutosha na shoo akawa ananinyima akinambia yeye ni bikra nisubiri muda ufike atanipa😭😭😭

Sasa hivi ameondoka Dar na nikimpigia ameniblock, roho inaniuma sana nataka nikajiue siwezi kuishi bila yeye wanangu nisaidieni, nampendaaa sana imebaki TU kichwani namba yake ya halotel inaishia na 9829
Koo mwanetu ulitaka bikra
 
Sasa hivi ameondoka Dar na nikimpigia ameniblock, roho inaniuma sana nataka nikajiue siwezi kuishi bila yeye wanangu nisaidieni, nampendaaa sana imebaki TU kichwani namba yake ya halotel inaishia na 9829
Upo wapi? nije nikuchukue nikupeleke sehemu ambayo utamsahau kabisa huyo Khadija Kimodoo
 
Wazee inakuejee mabibi inakueje,

Mimi ni muendesha katapila aka Greda aka skaveta, nimekuja mnisaidie Mimi Kuna demu nikikutana naye Dar anaitwa Khadija aka kimodoo, ulikuwa mwaka juzi ametoka kumaliza form six, sasa nikatupia swaga mtoto akakubali sababu Mimi ni mnyamwezi

Penzi likanogaa, sasa kinachoniuma kumbe alikuwa na mchumba huko mkoani, kwao Igunga, alikuwa anasubiri amalize shule amuoe, kibaya zaidi Mimi nimewekeza kila kitu kwake hela nimempa za kutosha na shoo akawa ananinyima akinambia yeye ni bikra nisubiri muda ufike atanipa😭😭😭

Sasa hivi ameondoka Dar na nikimpigia ameniblock, roho inaniuma sana nataka nikajiue siwezi kuishi bila yeye wanangu nisaidieni, nampendaaa sana imebaki TU kichwani namba yake ya halotel inaishia na 9829
Jiue utampata ahera
 
Back
Top Bottom