Recent content by Muebrainia Halisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jade Vance amemzidi mbali boss wake Trump

    https://x.com/AccountableGOP/status/1841181014225453450 Pesa ndio Inaongea
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hassan Nasrallah (1964 - 2024)

    Wapigwe mabomu tu, Lebanoni ilikua nchi njema sana ya kikristo WASHIA wameiharibu sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

    Breaking: Israel eliminated Hassan Khalil Yassin, who replaced Hassan Nasrallah hours ago.This breaks the Guinness world record for the shortest tenure as the head of a terrorist organization.
  4. M

  5. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jacksoni anakasirikaga akisemwa, NAFASI 3 amekosa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

    Gari bado ipo na nakula mitaa service inakula kwa wakati sahihi, sijawahi kutana na tatizo lolote, kama nitanunua gari basi ni Dualisi tena Naelekea befoward again, maana nilikaa masaa 4 na dada mmoja pale befoward kuchagua gari tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ajiunga TikTok ndani ya masaa 24 tu amepata followers milioni 2

    Wazungu hawamuelewi Trump kabisa. Yaani hawamuelewi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ajiunga TikTok ndani ya masaa 24 tu amepata followers milioni 2

    Uchaguzi wa USA unaamuliwa na meza kuu, Putin alisema kwenye Interview na Tucker, Biden ni whipping boy tu, waongoza nchi wapi Hao wazee hawamtaki Trump, atapigwa mchana kweupe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimekosa Mkopo benki kisa nilichelewesha rejesho mwaka 2018 kwa siku 60

    Wakianza kupangisha kwa credit check watu si WATALIA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimekosa Mkopo benki kisa nilichelewesha rejesho mwaka 2018 kwa siku 60

    Mnataka kuishi kama wananchi wa Dunia ya kwanza wakati mnalia kurudisha mkopo HIYO NDIO MAANA YA CREDIT CHECK itawaliza wengi Mimi niliomba huduma ya Internet wakataka credit check ya phone bill wakakuta nilipitiliza siku 7, nikagomewa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya 6 itaendeshwa na misaada ya nje kuliko kodi za ndani

    Hahaha, kinakuuma ni kitu gani???? Kafagie chato
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

    Mungu akikuchukia hatari sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Tatizo unadhani ile ni kibiti
Back
Top Bottom