Recent content by mudy5

  1. mudy5

    Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

    Hiii ni ushahid tosha rais tena muislaam mwez mtukufu unamkaribisha mtu kavaa hiv na unamkaribia pia ni hatar sana
  2. mudy5

    Kesi dhidi ya Pinda yapangiwa majaji

    Leo nimemsikia mtangazaj wa radio moja anaongea upumbav na ujinga anasema eti kama polis anakwambia simama ww unakwenda lazima akupige mm nafikir hakuelewa au Ana matatizo ya akil, kama polis wanaweza kutawanya watu na kuuwa kwann wasiwe wepes kutoa kibali cha mikutano?
  3. mudy5

    Picha: Foleni ya kwenda kumuona Sheikh Ponda Hospitali ya Muhimbili

    Umasikin wa mawazo ni mbaya sana mlikwenda kipigwa na jua kisa Obama matokeo yake mkala vumbi bila hata kupewa mkono ila kwenda kumuona alieonewa mnaongea pumba angekuwa baba yako ungeyasema hayo unayosema
  4. mudy5

    Tall building a threat to Ikulu

    Unajua kama kusema watanzania na vyombo vya habar pia vimesema sana ila viongoz wetu wanatuona wapumbav sana nakumbuka niliwah kusoma makala kwenye magazet na serikal ilivyo na usanii eti waliotoa Kibal wameshtakiwa, Hii ni sanaa ya kitoto unajua pemben ya lile jengo wanakaa na maafisa wa...
  5. mudy5

    BAKWATA na taasasi za kutetea haki za binadamu walaani Sheikh Ponda kupigwa risasi

    Kwahili BAKWATA wanaleta cinema ya kichina wakat walipouza mal za waislaam hususan viwanja shekhe ponda alikemea na kujitoa mhanga huyo shekhe wa mkoa pamoja na muft ndio waliosimama kwenye media na kusema sheikh ponda mhun tu kwanza hana elimu sasa leo hii wanamtetea vip mtu mhuni asie na...
  6. mudy5

    Tahadhari: Sakata la Sheikh Ponda lisifanyiwe siasa!

    Unajua kiswahil ndio lugha yetu ila watawala wetu hawaielew kabisa
  7. mudy5

    Ajali mbaya ya basi la Meridian

    Sasa serikal iweke nguvu huku jaman sio kwenye mambo ya kina........
  8. mudy5

    Polisi wamtaka Sheikh Ponda ajitokeze kusema nani alimpiga risasi

    Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii matukio-michuzi matukio-michuzi › Home View web version SUNDAY, AUGUST 11, 2013 MUHIDIN MICHUZI at Sunday, August 11, 2013 SHEKHE PONDA ATIWA MSUKUSUKO KATIKA JARIBIO YA KUTIWA MBARONI NA POLISI MORO. Na John Nditi wa...
  9. mudy5

    Tahadhari: Sakata la Sheikh Ponda lisifanyiwe siasa!

    Unajua mlio wengi hamjui kama dini imegeuzwa siasa. Kuna siku moja kiongozi wa nchi ilikuwa siku yake ya kizaliwa akaswal pale makao makuu ya bakwata kinondon cha ajab baada ya sala shekhe wa mkoa wa dar alituiimbisha wimbo wa siku ya kuzaliwa msikitin, kitu ambacho hata mtume muhamad saw...
  10. mudy5

    Biashara

    Gari inauzwa ya mwaka 2000 engine 4clnd
  11. mudy5

    Gar inauzwa TOYOTA HARRIER YEAR 2000, 4 CYLINDER DUTY FULL PAID

    Kwa maelezo 0783-834444 0783-834443
  12. mudy5

    Mabasi ya KILENGA ni ya mkubwa gani hapa Tanzania?

    Hapo ndio nyumban kwake Mzee mtu poa sana
  13. mudy5

    Police Tabata shule punguzeni njaa

    Hapo kuna tatizo sana mm niliibiwa vitu vya gar home nilipofika hapo majjb niliyopewa nilijuta kwa nn nimeenda ila nitakapo kamata mwiz nitamtaka radhi mwenyez mungu tuu anisamehe kwa kuua
  14. mudy5

    Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

    Mengi huwa yanasemwa lakin mm naweza kusema lawama zote ni kwa polis na serikali yake. Kama utakaa na kuleta fikra pana utakubaliana na mm kuwa taatifa zinatolewa ila baada ya mtuhumiwa kukamatwa polis ndio wanamtaja mtoa habar kwa mtuhumiwa matokeo yake unapata uadui usio na faida
Back
Top Bottom