SOMA KWENYE LINK HII HAPA CHINI
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/15187-majaji-watatu-kusikiliza-kesi-dhidi-ya-waziri-mkuu
Chukua tano zangu, mimi nitapinga na wewe. Kama hawatakuwepo wengine bac na tuwe wawili.Apigwe kwanza mama yake kama anaona ni busara kupiga watu; kama wanamakosa si wakamatwe wafunguliwe mashitaka sio wapigwe tu, wapige kwanza ndugu na mama zake harafu ndo ajue kusema piga tu wakati polisi wanaua watu kwa mabomu na risasi za moto, sikubali hata kama nitapinga mimi pekee yangu.
"Kesi ya LHRC/TLS dhidi ya Waziri Mkuu, imepangiwa Majaji watatu: Jaji Kiongozi Fakhi Jundu, Jaji Augustine Mwarija na Jaji Dr. Fauz Twaibu. Tunasubiri kupata tarehe za kesi kuanza kusikilizwa"