Recent content by Mudimi Hwilangiboli

  1. Mudimi Hwilangiboli

    CHADEMA ikome kutudanganya

    Hayapo ya kuongea kuhusu CCM ambayo ni yenu? Mnaipenda CHADEMA ama ndio kejeli? Sitofautishi na umbea wa kawaida tu, "Hujatumwa na si mshirika wao" badala ufurahie kushindwa kwao unajifanya unawashauri vizuri eti waje wakushinde, hizi zilikuwa ni zama za zamani saana! Unadhani Mnyika kama...
  2. Mudimi Hwilangiboli

    Wabunge wa UKAWA watoka bila Mbowe kuwepo leo

    Mfano wako hausadifu hali halisi ya siasa, unaonekana bado u mjinga wa siasa za vyama vingi ndio maana unadhani wanaumia kwaajili ya posho bila kuyafikiria maslahi mapana ya wananchi ambao wanaimani na wawakilishi wao. Sababu ya wao kutoka ni nani? Hata hilo hujalifahamu! Tafiti kwanza ili...
  3. Mudimi Hwilangiboli

    Lowassa: Ntafia Upinzani, huwa sirudi nyuma kamwe!, Waliobaki CCM nifuate

    Kwahiyo wenye ufahamu mkubwa wafikirie kuhusu makusudi yako wakati mwenyewe umeshindwa, utakuwa katika kundi la wasio na ufahamu? Ulipaswa kuandika ulichokikusudia tu, maneno mengi ya nini?
  4. Mudimi Hwilangiboli

    Lowassa: Ntafia Upinzani, huwa sirudi nyuma kamwe!, Waliobaki CCM nifuate

    Kuhailisha ni kufanyaje? Ama umetumia lugha isiyo ya Taifa TZ?
  5. Mudimi Hwilangiboli

    Lowassa apokwa mali zake, Ana hali mbaya sana ameuza nyumba Masaki

    Ninasubiri huko kunyang'anywa kwa EL! Labda kama tungeanza na zilizozuiwa kujadiliwa bungeni walizojigawia, ama sivyo ni uzushi tu. Nadhani nimekosa kipaji cha kunyamaza ningekuwa nacho ningenyamaza tu waseme yote kama alivyonyamaza Mheshimiwa EL, ni jibu zuri na linakidhi kwa kiwango chake.
  6. Mudimi Hwilangiboli

    CUF kuiteka Zanzibar kwa maandamano

    Unadhani kupigwa tu ndio suluhu ya madai yao? Uhuru gani kama democracy inaminywa? Miongoni mwa elements za democracy ni free and fair election, transparent na nyinginezo nyingi. Je Z'bar kuna free and fair election? Wa Z'bar wasiposikilizwa nani atasikilizwa kwa maslahi na ustawi wa Z'bar?
  7. Mudimi Hwilangiboli

    Poll: Unaunga mkono suala la uchaguzi wa Zanzibar kurudiwa?

    HAPANA, atangazwe aliyeshinda!!
  8. Mudimi Hwilangiboli

    Hongera Lowassa kwa kuiadabisha CCM

    Kipigo gani mkuu? Cha kuwashika wale vijana wa computer? Au cha kutangaza ushindi usiohalali? Naomba ufafanuzi mkuu!
  9. Mudimi Hwilangiboli

    Mkuu wa Wilaya vs Meya wa Wilaya; nani mkuu kimaamuzi?

    Unapaswa kuwa mchaguzi mzuri wa maneno unayoyatumia ili usiipotoshe mada inayojadiliwa pia ubaki kwenye tafsiri uliyoikusudia!
  10. Mudimi Hwilangiboli

    Mkuu wa Wilaya vs Meya wa Wilaya; nani mkuu kimaamuzi?

    Tunapohitaji kujadili mambo ya msingi kama ya kujielimisha kuhusu uongozi na tawala katika serikali halafu mwingine anaingiza vitu vya kitoto kama hivi, ni ujinga usioweza kuvumilika! Atamuoa lini? Kwa sheria ipi? Acha ujinga Duppy!!
  11. Mudimi Hwilangiboli

    Lowassa: Utajiri wangu usitumike kwa lengo la kuchafuana katika siasa, ndugu zangu aliyepata amepata

    Unamaana kuwa yeyote anayewatetea wezi naye mwizi? Mbona Magufuli aliwapa siku saba wanaodaiwa/waliokuwa wanakwepa kulipa kodi, naye ni mkwepaji kodi? On the spot mwizi unayemtafuta ukimwona unamkamata na kumpeleka akajibu mashtaka yake!!
  12. Mudimi Hwilangiboli

    Katiba mpya: Tuanzie wapi kwenda mbele?

    Duh!! Hapa nikama una agenda tofauti na mjadala uliotakiwa. Nadhani bunge linaweza kukaa siku za karibuni, wanajua ni nini kinatakiwa sasa. Ningekuwa mimi nimepata fursa ya kushauri ningeshauri liundwe bunge maalumu la katiba ili iletwe rasimu iliyoridhiwa na pande zote!!
  13. Mudimi Hwilangiboli

    Rais Magufuli na Slack Management Style, Utekelezaji mbaya wa Ilani ya UKAWA

    Watanzania walimchagua waliyemtaka isipokuwa tume haikumtangaza kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania!!
  14. Mudimi Hwilangiboli

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa: Wa kushukuriwa ni Lowassa

    Katika usiku wa giza nene mtu/watu hawawezi kuona na kukadiria uzito wa kivuli chako! Samaki ni shujaa, machozi huenda na maji! Kuto kuonekana kivuli haimaanishi kuwa ukiwa nuruni pia huna kivuli!!
  15. Mudimi Hwilangiboli

    UKAWA wote nipeni majibu

    Nilisoma mahali fulani kuwa mtu yeyote anathibitika mahakambani kuwa ni mkosaji, unatuthibitishiaje kuwa EL mwizi? Zaidi saana kwa mtazamo wangu ninaona ugunduzi wako umechelewa maana hauna suluhu. Kuhusianisha matokeo ya uchaguzi na tuhuma hizi kunaonesha ni kwa kiasi gani hujatafiti matokeo...
Back
Top Bottom