Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,765
Kuna ubishi umeibuka ghafla kuwa je ni nani mwenye mamlaka kuu kimaamuzi kati ya Mkuu wa Wilaya na Meya wa Wilaya husika.
Kwangu mi nadhani Meya ni mtendaji mkuu wa hiyo wilaya na maamuzi ya kikao chochote kinachuhusu madiwani wake wa wilaya husika mkuu wa wilaya haiwezi kuingilia.
But kuna wanasema Mkuu wa wilaya ni zaidi coz ni cheo direct kutoka kwa Rais na kwamba hata hii kelele ya UKAWA kuwa itaongoza hizi halmashauri kwa ufanisi itashindikana coz mkuu wa wilaya anaweza kuzuia mipango yao hata ya ukusanyaji wa mapato
Najua hapa nitapata majibu mengi zaidi.