Hongera Lowassa kwa kuiadabisha CCM

Hongera Lowassa kwa kuiadabisha CCM

Lowasa ni jembe...sisi wana UKAWA tunajua

Bila Lowasa UKAWA ilikuwa inaenda kuvunjika...sisi ndio tunaojua zaidi kuliko nyie mafwaaala wa CCM
Hayajijui bali yanaendelea kuweweseka na speed ya ukawa mara meya ilala,mara meya kinondoni sasa ndio tunaelekea kuchukua umeya wa jiji ndio watajinyonga
 
Hakuna anayemuandama, alijaribu kupiga ngumi ukuta, sasa baada ya kuumia anaugulia maumivu ya mkono
Mtaendelea kuisoma namba nyinyi magamba wakati ukawa tunachanja mbuga
 

Attachments

  • 1453289694707.jpg
    1453289694707.jpg
    61.2 KB · Views: 24
Kama nilivyokuambia kwa mzee wa monduli kazi imekwisha tayari, siku alipokatwa ndani ya CCM ulikuwa ndio mwisho wake kisiasa.
Tunaendelea kuthibiti majiji yoote,manispaa zoote,tutaingia wilaya na hadi miji midogo na mwisho tutawafuata huko kwenye kata na huo ndio utakuwa mwisho wa ccm hapa tanzania
 

Attachments

  • 1453289908864.jpg
    1453289908864.jpg
    67.8 KB · Views: 25
Hayajijui bali yanaendelea kuweweseka na speed ya ukawa mara meya ilala,mara meya kinondoni sasa ndio tunaelekea kuchukua umeya wa jiji ndio watajinyonga

haya majitu yameubaka uchumi wa nchi hii kwa muda mrefu sana
 
Pongezi za kipekee mh Edward Ngoyai Lowasa,rais kipenzi wa mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa kuendelea kukaa kimya hata pale unapo dhihakiwa na viongozi hata wana chama wa ccm na mawakala wao,uamuzi wako umekuwa ni adhabu tosha kwa maadui zako ambao sasa wameamua kuajiri vijana kwenye mitandao mbali mbali ili kukukebehi na madharau mbali mbali,adhabu hii kwa ccm ni hatari kuliko kuwachapa bakora.
Upuuzi mtupu,mi nilidhani kuna jambo kubwa alilofanya,kumbe kanyamaza,dah huenda ameishiwa hana la kujibu wala la kufanya kwa analoambiwa,ukizingatia na ukweli huwemo ndani yake
 
Anayebweka halafu na yule anayembwekea anayebweka, huoni kama wote wawili wanabweka, mzee wa kuzungusha mikono na kunywa viroba mbona unachekesha.
Ma ccm kila kukicha ni kubweka kama mambwa koko juu ya lowasa lowasa
 

Attachments

  • 1453294777018.jpg
    1453294777018.jpg
    55.5 KB · Views: 20
Upuuzi mtupu,mi nilidhani kuna jambo kubwa alilofanya,kumbe kanyamaza,dah huenda ameishiwa hana la kujibu wala la kufanya kwa analoambiwa,ukizingatia na ukweli huwemo ndani yake
Wewe naona bado kama jina lako nenda kajipange ndiyo uje hapa
 
Back
Top Bottom