Unajua wakati mwingine unaweza kuwa unajua kabisa kuwa unaolewa na mtu humpendi ila unakubali tu kwasababu unataka ndoa, Sasa hawa wabunge wa ukawa hawapendi kutoka bungeni ila hawana namna Mh mbowe kashasema halafu yy mwenyewe anakaa hm anacheki kwenye TV nani hatoki ila roho zinawauma maana posho hmna tena
Yaana kweli ww ukiambiwa na mumeo leo hamna kwenda kazin yule mkurugenzi wako mm simpendi kweli hauendi utakuwa na kichaa kabisa, sasa walichofuata huko bungeni ni nn sasa kama bungeni hawaingii simbilisiiii..............