Recent content by MUDIKE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Tukuyu mafuriko yanatisha

    2ko nae hapa
  2. M

    JamiiForums Tanzania New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

    ni wewe tu usiyesikiliza wenzio tunasikiliza na zinabamba kisawasawa hata hivyo usingejua kuwa ziko tano kama hazisikilizwi kwa kuzingatia kauli hiyo hata wewe unasikiliza
  3. M

    JamiiForums Tanzania New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

    watu bwana! kubalini tu diamond hana mshindani bongo hii zaidi ya wivu na chuki mtu wanaemshindanisha nae anaheshimu mashabiki lakini kiba msanii wa kawaida sana ndio mana hata nigeria hawamtafuti kwa collabo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Sheria hii ikpita,madhara yake, upatikanaj wa habar utakuwa mgumu sana! Hata upelelezi kwa jesh la police utasumbua, wakat kwa sasa n rahc ata kupata mambo ya sirin kwakuwa watu wako huru kuzungumza, tukumbuke, MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
  5. M

    JamiiForums Tanzania WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    yamalize mwenyewe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB bonus account, je nayo ni yenu pia, maana nakaribia kumaliza mwaka sijapata Bonus card, hadi fomu yakufungulia akaunti imechakaa! Jamani NMB!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

    Pumuzika kwa Amani, ww mbele $$ nyuma yako.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Usipofanya hivi siku ya harusi yako utaishi na mumeo/mkeo kwa raha

    kwanini mnapenda sana kukumbatia harusini? Wakumbatieni waume/wake zenu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Usipofanya hivi siku ya harusi yako utaishi na mumeo/mkeo kwa raha

    aking'ang'ania muitie police, vingnevyo unamruhu$u akuharibie ndoa yako.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina swali jamani

    ukimchunguza bata hutamla ebo! 2ache kuchunguzana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa Darasa la Saba wafutwa

    Ni wakati muafaka wa kuondoa utawala huu, mana umetuharibia mambo mengi sana adi elimu mbona hii aibu kubwa sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Taarifa ya tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne yasomwa

    haisaidii kubadili matokeo tu! Kuna mambo menge yanayotakiwa kufanywa kama: kuongeza walim, vifaa vya kufundishia, nyumba za walim, mazngira mazur ya kujifunzia.................
Back
Top Bottom