Recent content by Mudi kidato

  1. M

    Picha hii inakufanya ujiulize nini?

    kijana kaul hiyo utaanzisha mjadala humu
  2. M

    Toka nimwambie naumwa hajanitafuta kunijulia hali, ananifaa kweli huyu?

    mkasa wako uko kama wangu mm wiki iliyopita niliumwa sana sasa nikamtext mpenz wangu kuwa naumwa akajibu gett well soon my love aah hakuja kuniona wala kunipgia cm namm hadi Leo sijamtafuta na ndo tumeachana hvyo Leo siku ya 9 sasa
  3. M

    Wajuzi wa mambo naomba uzoefu kwa huyu Msichana

    mamaee mpalange 6 😂😂😂😂😂😂
  4. M

    Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?

    pole mkuu mm pia nimeituma lain yao yaan wanaboa sana
  5. M

    Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?

    unapenda Sana muandiko mzur eeh
  6. M

    Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?

    Airtel wanakupa GB 50 ila network itafute mwenyew kwa kuipatia 😂😂
  7. M

    Wameniharibia kwa mpenzi walioniunganisha naye

    kwely kabsa mm nip magegele hapa
  8. M

    Wameniharibia kwa mpenzi walioniunganisha naye

    mwamed anajibu da hakunajins😂
  9. M

    Wameniharibia kwa mpenzi walioniunganisha naye

    😂😂😂😂😂😂 sawa boss 😂😂😂
  10. M

    Wameniharibia kwa mpenzi walioniunganisha naye

    asante kwa muda wako umeongea point ingawa vijana Wa jf wananiponda sana cjuw tatzo liko wap?
  11. M

    Wameniharibia kwa mpenzi walioniunganisha naye

    tunasema foolish age kwaiyo usishangae mkuu
Back
Top Bottom