Picha hii inakufanya ujiulize nini?

Picha hii inakufanya ujiulize nini?

Mimi nadhani hao watu wamefia mbali na makwao hivyo wanasafirishwa kupelekwa nyumbani kwa mazishi.

Hai-make sense kusema eti wanapelekwa mochuari. Yani pesa za kusafirisha kwa gari zikosekane kisha za kuhifadhi mwili mochuari ndio zipatikane?
Uko sahihi hata mm nimewaza hivyo
 
Mimi nadhani hao watu wamefia mbali na makwao hivyo wanasafirishwa kupelekwa nyumbani kwa mazishi.

Hai-make sense kusema eti wanapelekwa mochuari. Yani pesa za kusafirisha kwa gari zikosekane kisha za kuhifadhi mwili mochuari ndio zipatikane?
Wewe umeongea point ambayo inaendana na ukweli
 
Barabara nyingi za Congo ziendazo vijijini hazipitiki kwa magari. Pili, Wakongo wamezoea kuona maiti, hivyo hawaoni shida.
 
Kunaa mama!alikua amemleta mtoto wake hospital bugando,Ila Hali ikawa Hali akafia njiani wakati anatoka geita anavuka kivuko Cha busisi,Yule mama alikuwa na roho ya kijasiri sana,alivyo shuka kwenye kivukobalikuwa kambebaaa mwanae mgongoni,ikabidi azunge abadili gari ageuze,alirudi kwenye basi kakausha kambeba mwanae anajifanya anaumwa kumbee kashafariki kitambo Sanaa,walaaah Yule mama nazani alitoa tarifa nyumbani,kituo alicho shushwaa ilikua bugarama kakolaa,haice ilivyo shusha ndo mamaa akaaza kulia na ndugu zake walio kuja kumpokea.haice mzimaa tulipigwa butwaaa
 
Mimi nadhani hao watu wamefia mbali na makwao hivyo wanasafirishwa kupelekwa nyumbani kwa mazishi.

Hai-make sense kusema eti wanapelekwa mochuari. Yani pesa za kusafirisha kwa gari zikosekane kisha za kuhifadhi mwili mochuari ndio zipatikane?
Na zaid mochuari wa naenda kuuhifadhi ili wamsubirii nani ndio wazike nadhan labda mwandishi angesema kuupeleka kijijini kwao kumzika kwa kuwa Barbara za huko hazipitiki magarii hapo sawa
 
Na hii ndo Miafrika MIMAFIKI INAKAA KUWASEMA WAZUNGU WANATAKA MUWE MASHOGA HUKU YENYEWE INAUANA NA KUPORANA UTAJIRI.
Haya ya kuporana utajiri wa Madini lina historia ndefu sana. Migodi mingi mikubwa inamilikiwa na Mabeberu. Kila Serikali iliyoingia madarakani ilisaini mikataba ya ajabu ajabu na hawa Mabeberu na ndio sababu unyonyaji wa utajiri wa DRC unaendelea bila wasiwasi wowote. Wameweka mirija yao na wanaendelea kunyonya taratibu kwa raha zao. Wananchi wa kawaida wa DRC hawafaidi chochote katika utaratibu huu. Dunia inashangaa, iweje nchi yenye utajiri kama huo inakuwa maskini wa kutupwa! Yapo madini yanaitwa columbite-tantalite. Simu yako janja inayatumia sana haya. Yana soko kubwa kwenye viwanda vyote hususan vya teknolojia ya habari na mawasiliano. Wachina wanayo akiba kubwa ya madini haya. Wenzao ndo wako bussy kuhakikisha DRC hawapati amani na hivyo kuendelea kuweka mirija yao na kunyonya vya bure kupitia hao waliopewa dhamana ya kulinda utajiri wao.
 
Bussy ❌
Busy ✅
Ni ujinga wenu na upuuzi wenu mnapigana. Eti wapo busy kuhakikisha hampati amani. Sasa na ninyi hamna akili ya kujua kuwa mnataka amani? Upumbavu ule ule miaka yote. Ukiona wewe na mkeo/familia yako mnagombanishwa wapumbavu ni nyie ambao hamjielewi. Miafrika ni minafiq haikubali kuwa ni minafiq mpaka tena inatafuta wa kumwangushia makosa ya upumbavu wao
 
Wanatumia masaa 5 kusafirisha kwenda kuhifadhi, badala ya kutumia saa moja had mbili kuzika.

Hapo kazungumzia umasikini, sijui kuhifadhi sio gharama..
Hata Mimi nimehoji ...huu Ni umasikini wa kiutopolo ...bila Shaka!
 
Unacheka angekuwa mama yako au baba ama ndugu yako ungecheka ?hata kama una Bandama kila jambo na wakati wake ficha upumbavu wako..
Mkuu nimecheka kama vile mazuri, imagine na misitu ya congo afu boda yuko na maiti pekee, mara maiti inamsemesha kuwa apunguze mwendo...
 
Back
Top Bottom