Mudi kidato
Member
- Nov 25, 2020
- 24
- 19
- Thread starter
- #21
asante kwa muda wako umeongea point ingawa vijana Wa jf wananiponda sana cjuw tatzo liko wap?Pole sana,hayo makuzi yapo sana kwa umri wenu huo.
Cha kufanya.
Muite huyo mwanamke,muelezee kila kitu kuanzia mwanzo tokea yupo na jamaa yake,
Alivyokupa namba,hadi vile anawaonea wivu .na mpaka alivyotuma watu na kuwalipa.
Akielewa mpange asijihusishe na mwana wala washikaji zake .akikubali piga mimna sasa