Wajuzi wa mambo naomba uzoefu kwa huyu Msichana

Mkuu unaelewa maana ya forum? Sio kila mtu anayeandika hapa kwa ajili ya kuomba ushauri ni mjinga na mshanga ,hapa ni mahali pa watu kushirikishana mambo mbalimbali ya kushare experiences mbalimbali , sio kwamba huyu msichana nashindwa cha mjibu hapana ,ila nimeleta uzi huu ili kushirikishana na kupata uzoefu wa matatizo kama haya kwa maana naamini hata ni mahali penye watu wenye busara na uzoezi.
Nonsense!
 
Habari za mida hii wana JF wote, natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa nchi yetu lakini mkichukua taadhari zote zinazohusiana na Covid 19.

Nije kwenye mada, leo nimepokea sms kutoka kwa msichana aliyenisumbua huko nyuma yaani takribani mwezi miwili imepita sasa. Nilijaribu kufanya jitihada zote ili niweze kumpata lakini akawa anazungusha zungusha sana huku akitoa sababu za hapa na pale najua mnanielewa.

Baada ya kumpotezea leo kanitumia sms kwamba nimwazime Elfu 30000 na amehaidi kuniludishia, binafsi moyo umesituka kidogo kama mnavyojua hii wakati huu wa nchi ya viwanda inahitaji umakini kidogo katika pesa. Mpaka sasa sijamjibu chochote nikaona ngoja nije kwa mabaharia ili tujadili kidogo hii mada.
"KUNA HELA NAISKILIZIAA". .... Simple answer mzee
 
Umenikumbusha mbali.
 
Kwa nini leo hujaenda shule?
 
Kwanza shukuru Mungu alkupga chambavu laiti angekubali pengine ungeleta Uzi wa kuomba ushauri unaosema "Ushauri ananipiga vizinga sana nifanyeje?? "

Jambo la pili ameshaomba madanga yake yote pesa mpaka yamechoka ssa amekukumbuka wwe boya aliekupga chambavu anatumia udhaifu wako wakumpenda ili akupige kizinga mpaka akili ikukae sawa

Aloo mkuu kikao cha mwsho tulisema
DEMU HAKOPESHWII NG'OO
 
Badala asuburie jion iingie amwambie aende kuchukua nyumbani huko huko amkule,, yeye anambwelambwela tu..

Anakuja kuanzisha uzi humu wa kuomba ushauri.

Bure kabisa
Nina zawadi yako geto njoo uipitie....
 
Kwahiyo ulitaka ombi lako likubaliwe bila...ya kuonesha kuwa una uwezo wa kutuma hela ya vocha..ajibu msg zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom