Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?

Gharama zao ziko vipi?
gharama inategemea na kampuni gani umeamua kuitumia ila ktk uchunguzi

wangu nimegundua ZUKU ndio maskini wenzetu tunawezana nao,vifurushi vyao

ni affordable sidhani kama kuna mtu mfanyabiashara anahitaji internet ku run kazi zake

ZUKU package zitamshinda otherwise awe hayuko tu serious na biashara yake kwa ujumla.
 
tatizo coverage yao ni ndogo sana
 
Kama una line ya airtel usijaribu, nasisitiza tena usijaribu kujiunga kifurushi cha amsha popo cha 10GB usiku.
Nimejiunga na kuambulia kushusha 1Mb na mtandao ulikuwa unasoma E (edge) na mda mwingine line inapoteza mawasiliano hata dkk 5. Jamaa wapo radhi kuzima network (data + voice) ilimradi usitumie kifurushi.

NB: nipo eneo la mjini na sijawahi kupata tatizo la kimtandao kwa kutumia line nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu mm pia nimeituma lain yao yaan wanaboa sana
 
Back
Top Bottom