Recent content by mtzima

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    Pia hakuwa mwizi wa baiskeli alikuwa mzungu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakali wa series, msaada wa Series kali za action/upelelezi/ugaidi

    Zero zero
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu naomba nyimbo ya Dotnata ile original ya FM academia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba wimbo wa Dotnata original wa FM academia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Babu Seya, Papii Kocha wamlilia JK

    Kipaji kinachopotea,papii the best rapper kwa upande wangu,hope watasamehewa,inaniwia vigumu kuamini kama kweli baba na mtoto mfanye kwa pamoja ubakaji ila ndio hivyo tena.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni browser gani nzuri yenye speed isiyokua nzito unatumia kwenye Computer yako?

    Torch browser,nime2mia browser zote ila hii ipo poa sana,ina features nyingi pia ina download video na music bila kama download manager yoyote,jaribu hii utatupa jibu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni yapi mapenzi ya kweli kati ya haya

    Ni kati ya nyuki dume anaejua atakafu kwa kumpanda malkia ili kizazi kiendelee au kinyonga jike anaekubali kupokea ujauzito na anajua akijifungua atakufa,pata picha ingekuwa kwa binadamu tena hp bongo gesti zisingekuwepo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume nasi pia tunanyonyesha.

    Inategemea na ni bebi yupi unaemnyonyesha wewe,maana wako wa aina mbili,ile inayoanza kuitiwa msata au under 5
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume nasi pia tunanyonyesha.

    Wanajf leo nimeshuhudia kisa ambacho kimenifurahisha sana,tulikuwa kwenye semina flani na haikuwepo dalili ya kuisha mapema semina hy ingawa muda wa jioni ulikuwa umekaribia ambapo kinamama wengi walianza kutoka na kuchukua posho zao kwa gea kuwa wananyonyesha,basi akainuka mbaba mmoja nae...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyimbo hizi za FM Academia,msaada tafadhali

    Nyimbo ya kwanza ni dotinata,ambayo papi kocha ameshiriki vema na nyingine jina siijui ila ila mashairi yanayosema unionyeshe nani anagawa pesa nimfuate nami nipunguze shida saidia omba omba,kama kuna mwana jf mwenye nyimbo hz au link ambayo naweza kuzipata nitashukuru sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada king'amuzi cha star times kimepoteza channels zote za local

    Naomba msaada jinsi ya kufanya ili king'amuzi cha star times kirudishe channel za hp tz nimejaribu auto search pia kimekataa,zilipotea baada ya kufanya manual search kwa code 531,hope nitapata msaada hp Jf.thanx
  12. M

    JamiiForums Tanzania The Monalisa Smile Painting....!!!

    Swat,Kweli mkuu,historia ni nzuri kuijua.thanx kwa mchango wako.
  13. M

    JamiiForums Tanzania The Monalisa Smile Painting....!!!

    40 mkuu sio monalisa wa bongo muvie huyo,
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua kiingereza tu

    hii ndio dawa yao
  15. M

    JamiiForums Tanzania The Monalisa Smile Painting....!!!

    Mona lisa ni mchoro maarufu duniani labda kupita michoro yote duniani,hii ni kazi ya mchoraji maarufu Leonardo da Vinci katika miaka ya 1503 ,mchoro huu una thamani ya mamilioni ya dola,mchoro original uliochorwa miaka hiyo upo hivi
Back
Top Bottom