Mimi ni mtaalamu wa IT chuo kimoja wapo cha hicho ulicho andika, hao ni wataalamu fake wametowa maneno kishabiki. kwenye IT kuna specification nyingi i.e Programming, Database, Graphics, Multimedia, hardware , Artificial inteligent, Image Processing, etc sasa ukimkuta mtaalamu wa Database...