Recent content by Mtuu222

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

    Mwaka juzi nliibiwa tecno wx4 kweli sikuumia saana Ila sio hii ya sasa angalau nimeelewa Samsung A11 ikiibiwa ntaitafuta hadi niipate sitaiacha bure kama ile tecno.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu simamia viongozi, wananchi wamechoka kuchangishwa pesa za madarasa kila mwaka

    Hata kuchangia mke wa mtu iume hivi hivi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Watanzania tutaandamana kudai mfumo wa vyama vingi ufutwe

    Lini hio?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunakubaliana na maridhiano, lakini Maalimu Seif na ACT Wazalendo lazima muwajibu Watanzania haya

    Mmawia Ukitaka kujua maana yake nakushauri anzisha chama chako ambacho kitakuwa cha kipinzani kwa upinzani huo unaouona kwako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

    Ni kweli Kamwachia baba mdogo jukumu hilo yeye ana mengine ya kufanya Kuna tatizo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

    Jaman Jaman Jaman Jaman Haya ndio maisha baada ya uchaguzi!!!!!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

    Hivyo ndio vizuri Kuna tatizo lingine?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

    Bado tuu uchaguzi? Hakuna jipya? Tunapoteza mb zetu jaman Kauli ya baba ni sheria Baba akisema kasema.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Rais ina uhusiano wowote na bajeti ya mwaka huu au itakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani?

    Kama nakumbuka alisema kutokana na Ilani ya chama chake kilichompitisha kuwa raisi Inaakisi bajeti kwa miaka yote ya kutekeleza Ilani ya chama
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

    Tayari kimenuka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Amuua mkewe kwa kumkata sikio na kumnyonga akihoji fedha za mauzo ya Mbuzi

    Mh jaman Hata ajali barabarani zitahusishwa na kumchagua JPM kwa sababu zisizo na sababu......
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee sana Lissu

    Mimi nawaombea marehemu babu zangu na bibi zangu pamoja na wagonj'wa bila kuwaacha wazazi wangu Kama ni kosa kutomwombea huyo mnyaturu mmoja nipelekeni kwa Amsterdam [emoji53][emoji53][emoji53]
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

    Waandamanaji wa MB na vidole Nlitegemea vituo vya polisi vingejaa leo Mnawaponza wenzenu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

    Alienda shule kwa faida yake au ya wenzake? Shule alitumia akili yake au ya wenzake? Am hero to my own
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bob Amsterdam ni Mamluki; Watanzania tuweni macho sana

    Very clever
Back
Top Bottom