Recent content by mtumweusi

  1. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Madee alipoulizwa kuhusu kuiba simu: Sijutii na haki yangu haipotei

    Akate nywele hizo chafu ndio jf itamjadili..
  2. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Pole sana Agnes Masogange kwa ajali

    Yani kapata ajali lakini bado anamzigo wa kutosha pale kati, kweli dunia haiko fair
  3. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunavutiwa na Rebeca Gyumi tuwe wapole, kuna jamaa ameshafanya kweli

    Dah! Wakubwa wanafaidi
  4. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajadiliwa tena DW, kufungia magazeti mawili kunaweza kusababisha vikwazo nchini

    Soma katiba, uone power of president.. anavyote hivyo ni haki yake kikatiba
  5. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Kagera waanza kujibu kwa kuonesha hisia zao

    2015 hakuwa na nguvu ya kusimama kwenye gari hivyo
  6. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

    Picha za google earth utoe maamuzi ya njaa kwani watu wanakula nyasi?
  7. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Matonya is back

    Ukusha iacha game ikupite kurudi ni inshu sana labda urudi kama alikiba kumponda mtu.. sasa hivi matonya yupo level moja na timbulo..
  8. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

    Kwahiyo sio yake mkuu, au anaweza kuwa ndio james delicious nini??
  9. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

  10. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

    Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
  11. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Bundle la mtandao upi ni cheap unaweza download movies

    TTCL BANDO NDIO HABARI YA TOWN..
  12. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Masanja "Mkandamizaji" Hebu uwe hofu ya Mungu

    Umasomea nini watu wanajichunga wenyewe
  13. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

    Mwache aendelee ili achoke aje kitaa tumtafune bure
  14. mtumweusi

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

    Naskia dogo hamonize kachomoa kula ndogo, ndio ugovu umeanzia hapo... ila mie siamini asee
Back
Top Bottom