Matonya is back

sonaderm

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
618
1,816
Msanii matonya katoa wimbo mpya unaoitwa Hakijaeleweka..Nyimbo hii imenibamba na imenikumbusha matonya wa vaileth imaka ilee!This is the pure bongo flavor and i love it!
 
Ukijua kuendesha baiskeli hata ukae miaka bila kuendesha siku ukipewa lazima upige pedeli bila tabu ndicho alichofanya Matonya kwenye hii ngoma duh hii ndio bongo fleva yenyewe aiseeee.
 
Daah siku nyingine uwe specific kwenye tittle kwani nimejikuta naangalia vichele mfukoni mwangu nitoe nikidhani Matonya omba-omba! kumbe hawa wavaa hereni tu.
 
Wimbo mzuri Ila video queen kumuweka huyo mwanamke kumenifanya nione kinyaa bora ata angeweka mwanamke mwingine Ila sio huyo......leo ndo mwisho wa kuicheki video Ila Audio ntasikiliza
 
Back
Top Bottom