Recent content by mtumbuavipele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua hatma za malipo ya join us mgogo kwa wastaafu

    Wala si hivyo ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua hatma za malipo ya join us mgogo kwa wastaafu

    OK thanks, km unauzoefu naomba unisaidie kujua uhakiki unaeza kamilika baada ya muda gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua hatma za malipo ya join us mgogo kwa wastaafu

    Habari wanaJF kuna mtu kastaafu tangu April 2018, alikuwa mtumishi wa umma anaehudumiwa na PSPF( social security wise). Mtu huyu hajalipwa hela zake tangu kustaafu na nina mdai hela nyingi. Naombeni wanaojua taratibu za malipo hasa kwa watu waliostaafu mwaka huu, je wameshalipwa. Nashukuru...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madalali wa nyumba Mwanza, nahitaji nyumba

    Habari wanajamvi, Naombeni mtu yeyoye mwenye namba za madalali wa nyumba Mwanza maana nahamia Mwanza na nahitaji makazi. Ahsanteni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Baada ya jiji la Mwanza mji upi unafuata kwa ukubwa kanda ya ziwa?

    Ninaishi bukoba ila kwa kahama bukoba iko nyuma sana, I stand to be corrected
  6. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Baada ya jiji la Mwanza mji upi unafuata kwa ukubwa kanda ya ziwa?

    Utakuwa si mtanzania halisi, maana naamini huelewi vizuri kiswahili, Mada inajieleza
  7. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Baada ya jiji la Mwanza mji upi unafuata kwa ukubwa kanda ya ziwa?

    Ahsante ndugu niko mbali na kahama kidogo lkn late mwezi huu ntapita hapo, hopefully ntakutafuta pm
  8. M

    JamiiForums Tanzania KARAGWE: Moto wateketeza soko la Kayanga Karagwe

    Moto ambao chanzo chake hakijabainika unatejeteza vubanda vya biashara hapa katika soko kuu la kayanga Wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera, hii ikiwa ni mara ya pili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Zima moto wanajitahidi ila changamoto ni ujenzi holela.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

    Kama mjuavyo namba moja anakuja Kesho huku kagera, katika maandalizi ya mapokezi yake umelazimu baadhi ya viongozi wa halmshauri waondoke jioni hii kwenda mkoani (bukoba). Katika dhana ya kushirikiana DC kamuombea LIFT luteni wa jwtz ambaye pia anaenda mkoani kwa shughuli za mapokezi,KITUKO ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania MSHANA JR VS THE BOSS PIGA KURA HAPA NANI RAIS WA JF?

    Km unaijua empire cane spirit basi lazma una vinasaba na kagera [emoji2] [emoji2]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Mitihani ya Bodi ya wahasibu NBAA kwa ngazi ya cheti

    Umezugumza vzr sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Yetu macho, hebu tusubiri matamko kutoka mamlaka zinazohusika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

    Point well made fellow
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Ajira ni janga kuliko hta hayo mabadiliko ya Tabia nchi

    Nimekutana na hii kwenye runinga za Kenya, imeniumiza Sana na kunichanganya, hasa wakati ambapo ninafikiria kuacha kazi yangu ya sekta binafsi Niende DSM kutafuta CPA.
Back
Top Bottom