instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,828
- 16,266
Mwanza ndo jiji linaloongoza kanda ya ziwa kwa ukubwa swali langu ni mji gani unafata baada ya huu kwale ambao hawafahamu kanda ya ziwa una manispaa zifuatazo kama MUSOMA,BUKOBA,KIGOMA,TABORA,na miji ifuatazo kahama,nzega,geita,bunda,bariadi nk majibu Tafadhali