MSHANA JR VS THE BOSS PIGA KURA HAPA NANI RAIS WA JF?

Baada ya mchujo leo ndo kumpigia kura nani anafaa kuwa mshindi na rais wa jf kwa muda wa mwaka mmoja
Na ni mshana jr vs The Boss
Atakayeshinda ataendeleza umoja na mshikamano wetu kama jamiiforums
Unapiga kura kwa kuandika jina la muhusika kati ya mshana jr na The Boss
Atakayeshinda ndiye rais wa jf mpaka tar 31 dec 2018 yaani mwaka mmoja
Haya piga kura yako sasa
NB:Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec 2016 saa 4 kamili usiku.
Haya chagua sasa
mshana jr vs The Boss
Much respect kwa hao wote, nenda forum ya Kenya kule kuna mtu anajiita Gezaulole, ni hatari tupu.
 
Hivi hawa wagombea walipiga kampeni au tunachagua bila kuwa sikiliza Hadi zao kwetu au ndo kutupa jiwe gizani litakalo mpata ndo mshindi utalitibu ulio tumika ni mbovu ujawaitoke alafu raisi jamii forum achaguliwa kwa njia wazo zuri njia iloyo tumika na mashaka
 
Hakuna hata kampeni zilizopigwa my dear.... Ni ubatili mtupu
 
weraaaa
 
Attachments

  • FB_IMG_1483169294154.jpg
    FB_IMG_1483169294154.jpg
    14 KB · Views: 29
Criteria ni zipi kuwapambanisha hao wajumbe.. ulozi? siasa safi? siasa za maji-taka? critical thinking? au busara?

BTW... humu kila mtu ni Rais.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom