Anza na jina lako,
Jina lako limebeba sababu halisi ya wewe kuwepo duniani.
Kila kitu duniani kina jina,
angalia nguo ulizo Vaa zote zina Lebo ( upande wa nyuma wa nguo Kuna kalebo kana jina mf: adidas, puma, Nike), viatu , magari, wanyama, miti, cement, ndege, simu, t.v Yani Kila kitu kina...