Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Ngondonyoni, Jul 12, 2018.

 1. N

  Ngondonyoni Senior Member

  #1
  Jul 12, 2018
  Joined: Feb 16, 2016
  Messages: 104
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Habari zenu?
  Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya. Hapo Kenya naona wanalima alfalfa kwa ajili ya ng'ombe na mbuzi Zao. Tanzania sijapata Maelezo bora, zaidi ya kwamba wachache Arusha na Moshi wanalima kwa ajili ya mahitaji Yao binafsi, na mbegu ni adimu sana.

  Katika utafiti wangu naona alfalfa ni zao la biashara nzuri.... sielewi lakini wapi ingefaa kulima, Morogoro? Tanga? Kilwa? Kaskazini? Njombe?

  Naomba ushauri au mawazo yenu.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jul 14, 2018 at 10:49 AM
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,880
  Likes Received: 4,421
  Trophy Points: 280
  Inalimwa kama chakula cha mifugo pia, ila maeneo mengi ni ngumu sana kuota hasa haya ya pwani. Mbegu ni adimu sana kupatikana, inapatikana kwa oda maalumu taasisi ya utafiti wa mifugo Mpwapwa. Nimejaribu kupanda mara mbili lakini imekataa kabisa licha ya kujielimisha kuhusu udongo na hali ya hewa inayotakiwa..!!
   
 3. N

  Ngondonyoni Senior Member

  #3
  Jul 14, 2018 at 12:38 PM
  Joined: Feb 16, 2016
  Messages: 104
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Asante bwana Katavi. Nasikia sana kwamba ni ngumu sana kuota. Nilikuwa nafikiri Morogoro pangekuwa pazuri, lakini naanza kuwaza kama kwamba pengine Njombe au Iringa pangefaa zaidi....
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...