nafikili kwa uchungu sana lakini damu itwalipwa si mda mrefu kwani hata MUNGU wa haki sio mdhalimu kiasi hicho kuacha jambo baya kama hilo naam hakika yake p na k wapaswa kujibu kama si kwa wannchi basi wakiwa pekeyao MUNGU ata wadhibu vikali
WAZILI MKUU [PINDA] BILA SHAKA NA RAISI WAKE KIKWETE WANAUSIKA NA MAJARIBIO YA MAUAJI YA ULIMBOKA KWANI MUNGU AME IHIFADHI BADO ROHO YAKE IWE HAI , SASA HUYU PINDA ALIKUWA NAMAANA GANI KUSEMA LIWALO NA LIWE LAKINI MADAKTALI WATARUDI KAZINI HAKIKA ALIKUWA ANAJU KILA KITU KUWA DR AMEKWISHA KUFA...
Shame upon the gorvements and hao wabunge kwani wao nibora kiasio gani kuliko walim na madaktari viongozi hawa hawana tofauti na taylor nafikili kuna haja ya kuharakisha mageuzi katika hizi serikali za kishetani
CHAMA CHA DEMOKRASIA JIMBO LA ILALA KIME MTIMUA ALIE KUWA KATIBU NA MWENYEKITI KUTOKANA NA USHILIKI WAO MKAMILIFU KATIKA KUFUJA FEDHA ZA CHA ZINAZO PATIKANA KUTOKANA NA WAFADHILI KWA CHAMA KATIKA JIMBO HILO TAYARI MTU MMOJA KWA JINA ANAITWA MWAMPAMBA ALIE KAIMISHWA KWA MUDA UKATIBU YEYE NAE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.