Wabunge EALA kulamba shs 17 milioni kwa mwezi

kookolikoo
unaweza kuniambia wanachama wa EAC wanachangia uendeshaji wa jumuiya
kwa uwiano upi? Malipo ya wabunge huko Kenya pia ni kizungumkuti. Una
maana Wakenya wana uchumi mzuri kuliko Norway na Canada?

details za uwiano wa michango sina ila definitely uchumi wa kenya hauzidi wa Norway na Canada
 
Last edited by a moderator:
Wanapata kile wachostahiri.
.
"IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY AND MONEY HAVE CREATED ALL KIND OF MADNESS".
 
Shame upon the gorvements and hao wabunge kwani wao nibora kiasio gani kuliko walim na madaktari viongozi hawa hawana tofauti na taylor nafikili kuna haja ya kuharakisha mageuzi katika hizi serikali za kishetani
 
Waafrica sijui ni nani ametuloga. Kwetu wanasiasa ni wa muhimu kuliko madaktari, walimu, wahandisi, wahadhiri n.k, sijui hili tatizo litaondolewa na nani!
 
Waafrica sijui ni nani
ametuloga. Kwetu wanasiasa ni wa muhimu kuliko madaktari, walimu,
wahandisi, wahadhiri n.k, sijui hili tatizo litaondolewa na
nani!

kazi ipo maana sheria hutungwa na hao hao wanasiasa/wabunge!
 
Thank you for the information. Hii habari inaonyesha uozo tulio nao! Ni balaa...
 
Mshahara kwa mwezi ni Tsh. 17m.Posho kwa kikao kimoja laki 9.Mkopo kwa ajiri ya shangingi Tsh.90m.Mengine mnaweza ongezea.
 
mmmmmh! kwa style hiz maendeleo ya wananchi wa kawaida Africa itakuwa ni ndoto za bunuas
 
That remuneration is a.k.a opium allowance,it is intended to sedate MPs. Matokeo yake mtayaona kwenye hot issues, haki ya nani mtawakaa hao watu
 
Vidole havifanani...Ridhiki ya mwenzio usiilalie mlango wazi Wahenga walisema. Na Mungu akaongeza Usitamani mali (fedha) ya mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom