Recent content by Mtu wa leo

  1. Mtu wa leo

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa kuhusu Bima uko chini au Diva ameamua kununua ugomvi?

    Bima ni utapeli tu bora mtu utumie cash Mwaka jana brother angu alivunjika mguu kwenda Hospital et wanadai Bima haihusiki na upasuaji na ni NHIF ni huzuni "Bima ni Utapeli tu"
  2. Mtu wa leo

    JamiiForums Tanzania Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

    Mimi ndio maana nilifanyia harusi yangu kijijini kwa Wazee mana nilijua watu wa kijijini kuwapeleka Ukumbini mmmm kasheshe Sherehe za vijijini ndo unyama Yaani ng'ombe zinachinjwa mnakula nyama mpaka siku ya 3
  3. Mtu wa leo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

    Ni sahihi kabisa
  4. Mtu wa leo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

    Yaani kwa kweli mna hoja msikilizwe
  5. Mtu wa leo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

    Aisee Kataa ndoa wasikilizwe wana kitu Sisi tulio katika ndoa tushayaona
  6. Mtu wa leo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

    Aisee ni kama umekopi maisha yangu Yaani Hawa viumbe sijui wana nini Yaani drama zote anazokuonesha ww na mimi wangu ni ivo ivo kwa kweli wanawake ni kazi sana kuishi nao
  7. Mtu wa leo

    JamiiForums Tanzania Prof Janabi awekwa mtu kati

    Mwamba Traore nae akae makini Janabi sio mtu poa
  8. Mtu wa leo

    JamiiForums Tanzania USHAURI: House girl wangu anatoa harufu ya Jasho

    Mnunulie vya kupaka kwenye vikwapa na ajitahidi kuoga na kunyoa mara kwa mara pia mnunulie na perfume ata ya bei ndogo
  9. Mtu wa leo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Wewe raundi ngapi akienda zinaanza kuwa kero?

    😂😂😂 Hii comment imenivunja mbavu balaa
  10. Mtu wa leo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu bikra Bado zipo,Nimekutana na Moja Kwa mtoto wa kichaga

    Bikra uchagani Hahahaaa Ila hongera man
  11. Mtu wa leo

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Duh! usikute yote ni kutafuta bikra 😀😀
  12. Mtu wa leo

    JamiiForums Tanzania Nimekuta alama za masanduku la wajerumani chini ya ardhi shambani kwangu

    Wakuu za Usiku huu Leo katika Harakati za Kilimo wakati Jembe la Trekta linapita kuna sehemu likakutana na Jiwe gumu sanaa na kuna alama ya zege la kutisha baada ya Kuuliza wazee wakaniambia Hapa pana Sanduku la Mjerumani na kwa maelezo yao Masanduku hayo yanakuwa na vitu vya thamani so kama...
  13. Mtu wa leo

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu huyu mwizi aliyepigwa Mtaani kwetu

    Kwisha wewe
Back
Top Bottom