Recent content by Mtu si mbwa

  1. Mtu si mbwa

    Ajali za mabasi ya abiria zaanza kuitikisa serikali ya Tanzania

    Broo ulishawahi shuhudia mabasi Haya yakitoka stand arusha halafu yakukute majengo au kisongo ukiwa na vitz ????? Tumuachie mungu
  2. Mtu si mbwa

    Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

    Yaani viford vyenyewe vimechakaa hatari vinasababisha ajali mara kwa mara. Sasa ukijumlisha Na toyo ndio utafurahi udreva arusha ni stress
  3. Mtu si mbwa

    Internet inayotumika duniani inaongozwa watu 14 na wenyewe kila mmoja ana siri saba za funguo ya internet

    Kwahiyo akifa mmoja ndio internet basi tena???? Hapa umetupiga
  4. Mtu si mbwa

    Saa moja ya 'mapambano' mimi na waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Usingeondoka mzee baba ungeenda kuwakazia kwa wale wakuu wao wangenyooka
  5. Mtu si mbwa

    Mazingira ya Kenya ni mazuri kuliko Tanzania kwa hali ya hewa

    Broo ile ndui ulichomwa begani au .... kama vipi tukakupime mkojo
  6. Mtu si mbwa

    Naunga mkono makala ya "Wao wabaki na chanjo yao, sisi tubaki na Mungu wetu"

    Hata ikiruhusiwa nchini mm sichanjwi covid-19
  7. Mtu si mbwa

    Sitaki hata kujua ilikuwa ni nini, ila wapendwa Jilindeni tu!

    Du unayoeleza ndio yamenitokea leo Na majibu ya vipimo ni hayohayo du mungu atuongoze mm nimetokewa Na hali hiyo saa kumi alfajiri leo.
  8. Mtu si mbwa

    She is beautiful, nimemkubali, Ila yupo na jamaa mmoja

    Kama unauhakika unampenda Na upo tayari kufanya nae maisha mchukue kwakuwa huyo jamaa hawana ndoa. Pia Elewa hata ukimuacha utafute mwingine ambaye unadhani hana mtu huwa ni uongo wanawake wote wana watu Na tena sio mmoja ila atakuficha kuwa yuko pekeake toka mwakajana wakati jana tu watu...
  9. Mtu si mbwa

    Madaktari wanavyowafanya wake zenu

    Huduma hiyo daktari hafanyi akiwa pekeake anakuwa na wasaidizi wake. Labda kama kuna kitu umekiruka kwenye uzi wako
  10. Mtu si mbwa

    Nimeshindwa namna ya kumsaidia. Ingawa naumia sana kwa hali anayonisimulia

    Broo alijilaani mwenyewe ila kasahau, ashachuja kawa chuma chakavu anatafuta pakufia sasa ww jifanye unampokea ile upande wako kwa mara nyingine kwakuwa naona Na ww kama vile hujakoma kwa yote aliyokutendea leo unajaribu eti ww ndio umsaidie! Broo fanya mambo yako Na wape watu wengine nafasi ww...
  11. Mtu si mbwa

    Hivi condom zina nini lakini?

    Broo kwanza hongera kwa kutumia condom. Pili futa kauli kuwa wazazi watakuona kuwa unapenda K” wakati ww unazipenda kweli sio swala la kufikiriwa. Lakukushauri hapa endelea nazo kwakuwa side effect ya kuziangusha mbele ya watu sio kubwa kama balaa la kula kavu visonono, gono, pangusa, kaswende...
  12. Mtu si mbwa

    Mwenye utaalamu Na Toyota GX 110 Mark 2

    Je, aina hii ya gari nyingi zinatumia timing belt, je gari hizi zipo ambazo zinatumia timing chain?? Naomba anaezijua gari hizi anijulishe
  13. Mtu si mbwa

    Natafuta mchumba

    Mm ni Man
  14. Mtu si mbwa

    Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba, sifa awe Na miaka 23-30. Awe mwe usi au maji ya kunde, dini yoyote, awe mrefu wa wastan, awe Na wembamba usio Na mashaka, awe Na chura wa kawaida tu. Tabia iwe njema Na mwenyeheshima pia awe Na ajira yoyote Na awepo Arusha. Mm ni mwembamba wa wastan, sio mrefu wala sio mfupi...
  15. Mtu si mbwa

    Single Father anahitajika

    Je uko maeneo gani ???
Back
Top Bottom