Allah awalipe kheri kwani mmeushika sawasawa mlingoti wa bendera ya kiislam. Hakika hili ni jambo kubwa miongoni mwetu. Mmethubutu na mmeweza. Wangapi kwenye uwezo wakashindwa haya? Nakuombeeni allah awaweke upande wa kuume siku ya kiama inshaallah. Nitakuwepo uwanjani inshaallah.
Sijashawishika na hawa wapaka hina wa bongo movies. Sizipendi filam za kibongo,hawana hata nusu ya kiwango cha wenzetu. Ubunifu mbovu, kuigana kwingi, location hizo hizo kila kukicha. Kuangalia bonhomie movies kwangu ni ushamba coz hazina ubunifu.
Koti lile lilimbana ameamua kulivua. Wakati Mwingine ni lazima kujitoa na kuthubutu. Urafiki umeyumba umebaki unafki. Bashite hana pa kuruka kila kona yeye tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.