Nililipa 617 na machenchi hivi kwa mwaka mzima nadhani ilikua fair maana niliingiza 1,500,000 kwenye kuku
Kwenye vikoba yetu!kwa mkopo huo ningelipa 550!,na hiyo faida tungeigawana cc wenyewe!!huko hamnipati ng'oooooo
Nililipa 617 na machenchi hivi kwa mwaka mzima nadhani ilikua fair maana niliingiza 1,500,000 kwenye kuku
Wewe Ni meneja wao WA tawi, Bayport sio pa kukopa, Ni balaaIeleweke mimi sifanyi marketing wala sio mfanyakazi wao, nina biashara ya kuku na ninaona jinsi wapinzani wanavyonisema vibaya kwa wateja japo wananielewa na wanakuja kwangu kuniambia, nilivyoona comments na threads zenye maudhuu kama yenu nikaona ni upinzani unawasumbua tu kwamba mnatafuta wateja, note kwamba sijataja madhaifu ya kampuni zingine japo mi ni mkopaji mzoefu na ninafahamu mapungufu mengi kwa hiyo state your argument acheni kejeli, nimetoa observation aliyetari kuthibitisha si wapo kwann tusumbuane
acha uongo riba yao ni kiasi gani?Mwaka mmoja, nilisema mwaka jana nilikopa hiyo mitano sijui umetoa wapi
Pole mkuu,kwa kweli hivi vitaasisi mshenzi vimewajeruhi watanzania wengi sana kuna hawa bayport,letshego bank abc hawafai hata kidogo na wanatumia mwanya wa watanzania wengi sio watafiti sana pale linapokuja suala la pesa mtu akiambiwa anapewa milion tano haulizi atarejesha kias gn kila mwezi(monthly deductions),marejesho jumuishi na riba(total liability) na pia hawadai mikataba na hapa ndipo watumishi wengi hupigwa kipigo kitakatifu, juzi kuna dada amekuja ofisin analia anaomba tufanye loan buyback kutoka bayport nikampigia hesabu nikamwambia dada hapa baada ya kununua hili deni utabakiwa na 50k akaniambia hata nisipobak na chochote itafaa zaidi kuliko kubaki na hawa vibaka nilimuonea huruma sana inaumiza mno,lakini yote hayo huchangiwa na watumishi wengi kutokuwa na upembuzi yakinifu pale linapokuja suala la mikopo sijui nisema ni tamaa ama ndio kukurupuka maana haingii akilini mtumishi amechafua salary slipMbwa hao uthisubutu, kwanza ukishajaza mkataba watafanya ujanja usibaki nao hata kwa dawa. Pili ukikopa mil 2 watakuambia unalipa mil lets say 4.2 kwa miaka kadhaa, siku salary slip ikija utakuta ni milioni 6, ukirud kuomba mkataba wabakupiga chenga tushatuma makao makuu.
Kulipa deni kwa mkupuo pia hawataki
Najiuliza serikali kupitia bank kuu wanakaaje kimya kwa wizi huu
====================================================================================================Nililipa 617 na machenchi hivi kwa mwaka mzima nadhani ilikua fair maana niliingiza 1,500,000 kwenye kuku