Recent content by MTU POLI

  1. MTU POLI

    King'amuzi kinauzwa

    King'amuzi aina ya startimes kinauzwa bei 30,000 kina muda wa miezi miwili toka kinunuliwe, kinafanya kazi vizuri na kimelipiwa mwezi mmoja kifurushi cha mambo. Nipo Dar namba 0787526457 piga au tuma sms.
  2. MTU POLI

    Akiba commercial bank

    Wadau nauliza vipi kuhusu nafasi walizotoa dec 2012, ACB Bank kwa branch itakayofunguliwa DODOMA wameishaita kwenye interview?
  3. MTU POLI

    Msaada kuhusu ERP

    Wadau naomba mnisaidie wapi naweza kupata training ya ERP Software.
  4. MTU POLI

    Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

    Siasa si kitu cha kawaida kama wengi wanavyofikiri.
  5. MTU POLI

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Hakuna mtu niyemuamini kama zito, ni haki yake kutamka maneno hayo sawa, lakini kama mwacdm sina imani na mienendo ya Zitto kwa hivi karibuni coz kajiweka mbali sana na chama chake bora aondoke atuachie chama chetu.
  6. MTU POLI

    Dirty mind

    Ukiangalia kwa makini utona kiti moto hao
  7. MTU POLI

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Dah! yaani kama wasomi wa ccm ndio wewe mmojawapo basi ccm hakuna wasomi, kwa jinsi tu ulivyoandika haya maneno yako unaonesha ni jinsi gani elimu yako haijakukomboa hata kidogo, kwanza haupo makini, pili hujui hata kuandika kwa maana unakoesa kosea , sijui hukupitia darasa la kwanza maana. Siku...
  8. MTU POLI

    Customer care representatives

    hawa NFT CONSULT wako wapi hebu tujuzeni wakuu
  9. MTU POLI

    nimeomba dodoso ndefu jina langu limetoka dodoso fupi

    We jamaa nadhani ulitaka kutuonesha tu kwamba umepata maana hata hatujui tukupe msaada upi, kama huitaki hiyo nafasi kuna wenzio tunaitafuta hiyo ya dodoso fupi.
  10. MTU POLI

    ajira fasta

    Tueleze vizuri mkuu ili tukienda tunaenda kamili, ni nini zaidi unatakiwa kuenda nacho?
  11. MTU POLI

    Umemwona farasi?

    Imenichukua dk7 kuitambua hii picha, ukitaka kuigundua ipindue upande wa kushoto uwe chini ndio utagundua.
  12. MTU POLI

    brac kazi

    Hata mimi ni mmoja wao waliotumiwa sms, mi nimeamua kuachana nao, maana inasemekana hata baada ya kujaza fomu hizo hamna uhakika wa ajira.
  13. MTU POLI

    Sema chochote kuhusu hawa magamba

    Nilivyowaona tu, nimehisi kichefu chefu.
Back
Top Bottom